Tetesi: Lazaro Nyalandu na Mzee Lowassa kupeleka mapendekezo kwenye kamati kuu ya CHADEMA kuhusu ukomo wa nafasi ya mwenyekiti.

Ccm itaendelea kuwa ileile na haitabadilika kamwe.ccm hawana cha kujivunia labda watajivunia uroho wa madaraka na kuhujumu wananchi tu .
Ila ninyi ndio mtajivunia kukaa madarakani kidogo na kufata katiba ya chama kama anavofanya mh mbowe
 
Safi sana makamanda Lowasa na Nyalandu.
Kwa kuwa Chadema inajali democrasia bila shaka watasikiliza mawazo yenu na kuyafanyia kazi.

Itapendeza mno siku moja Nyalandu kijana msomi kutoka Ilboru na USA kuwa mwenyekiti wa Chadema.
Kama itakavyopendeza dada msomi kutoka ud napia na field bora kuliko yote nchini chadema juliana shonza kuwa mwenydkiti mpya wa ccm.magufuli abakie na kofia moja tu ya urais
 
Lumumba mzgoni
 
MwanaCcm ndio umekuwa msemaji wa chadema !!!!
 
Mbona umeandika with passion?
 
sisi utaratibu ni miaka kumi tu basi, hamna uroho wa namna hiyo wa kukaa miaka 20 mtu mmoja na asiwepo wa kuhoji
Utaratibu gani mbovu wa m/kiti kukaa miaka kumi mfululizo bila ya kura ya maoni??
 
NAONA MNASHINDANA KUANZISHA NYUZI ZA UONGO LEO. MWENZAKO ASUBUHI ALILETA YA NASARI KUJIUZULU NAFASI ZOTE, BAADA YA KUSHUSHULIWA HAJAONEKANA TENA MPAKA SASA
 
Kama kweli, patamu sana hapo,ila na shaka,watafyekwa mapema sana kabla hawajawasilisha,kwa kigezo cha wao kuwa ni wasaliti ndani ya chama,Mbowe ni mwenyekiti wa maisha
Umeona ehh
 
Na kwetu jamani Mwenyekiti awe anachaguliwa na si kupitishwa miaka 10 bila kupingwa kha!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…