Uchaguzi 2020 Lazaro Nyalandu: Wajumbe karne hii wanajua cha kufanya hawapokei maelekezo kutoka juu

Uchaguzi 2020 Lazaro Nyalandu: Wajumbe karne hii wanajua cha kufanya hawapokei maelekezo kutoka juu

Dam55

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2015
Posts
5,641
Reaction score
11,958
Kauli hii ya Nyalandu inatoa picha gani? Kuna nini anachokihofia kuelekea kura za maoni kumpata mgombea urais CHADEMA?

Kwa kauli hii atakubaliana na matokeo kweli ikiwa hatochaguliwa?

Screenshot_20200801-105050.png
 
Kuna mwenyekiti wa chama x aliwaambia watu kwamba hapangiwi ba wajumbe wa chama chake wakamuonyesha kwa vitendo na wao hawapangiwi wakayapiga chino mapandikizi yake na wanajiapiza huku mitaani kwamba bado yeye October mpaka sasa ameamua kumgawa MAMA yako kwa jogoo 😁😁😁😁😁😁 sasa bado wajumbe wa chama chenu
 
Maana yake kulikuwa na zaidi ya fomu moja ya mgombea.

Huyu Waziri wa Vitalu inawezekana?Kashamaliza Kazi kwa wajumbe huko Makwao zamani Kitambo anasubiria tuu siku ya Mkutano kuwashangaza watu...na Haya Mambo hayana Ushahidi!Fedha fedha....
jamaa ni nomaaa kimya Kimya...ndio maana anatahadharisha maagizo toka Juu!
inabidi chama Chao maamuzi ya Mwisho yafanyike Na Mwenyekiti kama cha cha kijani!
 
Nyalandu alambe sumu asilambe, yeye ni ccm fullstop.

Waziri wa Vitalu zamani,Hana Mchezo Ujue...Pesa mingi mingi inasemekana...Wajumbe inawezekana walishafuatwa makwao na Kufanyiwa mabo makubwa??
jamaaa anasubiria Muda tuu!
 
Back
Top Bottom