Kamkuki
JF-Expert Member
- Feb 1, 2011
- 1,732
- 1,093
[emoji115][emoji123][emoji106][emoji23][emoji23]Maana yake kulikuwa na zaidi ya fomu moja ya mgombea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji115][emoji123][emoji106][emoji23][emoji23]Maana yake kulikuwa na zaidi ya fomu moja ya mgombea.
Ngoja waje wafanye kosa kwa kutuletea CCM B,wajumbe wa safari hii hawamwachi mtu salama nyalandu anapita kiulainiiii
Lissu hana mpinzani CHADEMA pia hana mpinzani kwenye uchaguzi mkuu. Meko aanze kuandaa mashamba ya viazi kule Chato.
Hata kuandika hujui....PimbiWaziri wa Vitalu zamani,Hana Mchezo Ujue...Pesa mingi mingi inasemekana...Wajumbe inawezekana walishafuatwa makwao na Kufanyiwa mabo makubwa??
jamaaa anasubiria Muda tuu!
Nyarandu hana uwezo wa kumshinda Lissu kwa 100% unless sio Lissu ninayemfahamu.Nyalandu hebu utulize, huna uwezo wa kupambana na Magufuli. Lissu anatosha.
Danganya toto tunduKwa jinsi Lissu alivyopokelewa naona njia Ni nyeupeeeee Kama ashapita hivi
Alishajiimarisha kiuchumi, kinachowafanya watu waende ccm sio mapenzi kwa chama bali uhakika wa kupata fedha safi na chafu bila usumbufu.tatizo Nyalandu hataweza kumtia Jiwe kashikashi za nguvu kwenye uchaguzi mkuu...hilo tuu kwangu ndo linanipa mashaka.
otherwise namkubali Nyalandu kwa ujasiri/uthubutu kuacha ubunge ccm na kuja upinzani...tena awamu hii ya Jiwe sio jambo la kitoto!!!.
Wajumbe wanatakiwa kuwaamini kwanza wanachama waliokuwepo humo kwa miaka mingi, wanakijua chamaNyalandu asisahau yaliyomkuta Sumaye.
Kiufupi simkubali Nyalandu
Magufuli anatamani Lisu ahamie CCM ili ampe ubalozi au u Jaji mkuuNyarandu hana uwezo wa kumshinda Lissu kwa 100% unless sio Lissu ninayemfahamu.
Nataka Lissu apite ili kuwe na competition nzuri katika uchaguzi.
Heeeee ndio hayo tena.Sumu hailambwi!!
Hili suala umeling'ang'ania sana la mtu kujitoa..Wanasiasa wenye akili na waliokomaa huamua kujitoa iwapo kuna mwanzeo anaonekana kukubalika zaidi ila huu utamaduni sisi hatuna labda kwa mtu kununuliwa.
Acha kuingilia majukumu ya Wajumbe mkuu acha demokrasia ifanye kazi hakuna kuenda na jina mkononi, atakae shinda ndio chaguo la wengi huyo.Tahadhari kwa kamati kuu, Mgombea mtakaemleta Kwa raia awe ni yule aliekipigania chama mpaka hapa kilipo, Mapandikizi safari hii hawana nafasi
Ushangae na wewe mkuu, Mimi ninachowaomba Chadama wajiandae tu kukubaliana na matokeo yoyote yatakayo kuja.Hili suala umeling'ang'ania sana la mtu kujitoa..
Wasiwasi wako nini?
Kama Lissu anakubalika Nyalandu ajitoe asijitoe Lissu at apita.