Uchaguzi 2020 Lazaro Nyalandu: Wajumbe karne hii wanajua cha kufanya hawapokei maelekezo kutoka juu

Uchaguzi 2020 Lazaro Nyalandu: Wajumbe karne hii wanajua cha kufanya hawapokei maelekezo kutoka juu

Huyu Waziri wa Vitalu inawezekana?Kashamaliza Kazi kwa wajumbe huko Makwao zamani Kitambo anasubiria tuu siku ya Mkutano kuwashangaza watu...na Haya Mambo hayana Ushahidi!Fedha fedha....
jamaa ni nomaaa kimya Kimya...ndio maana anatahadharisha maagizo toka Juu!
inabidi chama Chao maamuzi ya Mwisho yafanyike Na Mwenyekiti kama cha cha kijani!
Atabaki yeye na wajumbe .
 
Kwa jinsi Lissu alivyopokelewa naona njia Ni nyeupeeeee Kama ashapita hivi
 
Hii kauli haina ubaya wowote ila Nyalandu asije Shanghai akapata asilimia ndio sana ya kura zote.
 
tatizo Nyalandu hataweza kumtia Jiwe kashikashi za nguvu kwenye uchaguzi mkuu...hilo tuu kwangu ndo linanipa mashaka.

otherwise namkubali Nyalandu kwa ujasiri/uthubutu kuacha ubunge ccm na kuja upinzani...tena awamu hii ya Jiwe sio jambo la kitoto!!!.
 
Back
Top Bottom