Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmh ngoja tuone mwisho wakeKauli hii ya Nyalandu inatoa picha gani? Kuna nini anachokihofia kuelekea kura za maoni kumpata mgombea urais CHADEMA?
Kwa kauli hii atakubaliana na matokeo kweli ikiwa hatochaguliwa?
Nikweli kabisaMuda ndio msema kweli
Nyalandu asisahau yaliyomkuta Sumaye.
Kiufupi simkubali Nyalandu
*Matokeo ya kura Baraza Kuu:*
1. Tundu Lissu kura 415
2. Lazaro Nyalandu kura 36
3. Dk. Mayrose Majinge kura 1
Hatari hii#Niyeye2020
Chadema kina wenyeweAcha kuingilia majukumu ya Wajumbe mkuu acha demokrasia ifanye kazi hakuna kuenda na jina mkononi, atakae shinda ndio chaguo la wengi huyo.
Kuna watu kwenye Vyama, huvibeba Vyama vyao badala ya Chama kumbeba mtu mtu huyo,akihama na siasa inamkimbia atakuwa amejimaliza mwenyewe