Uchaguzi 2020 Lazaro Nyalandu: Wajumbe karne hii wanajua cha kufanya hawapokei maelekezo kutoka juu

Atabaki yeye na wajumbe .
 
Kwa jinsi Lissu alivyopokelewa naona njia Ni nyeupeeeee Kama ashapita hivi
 
Hii kauli haina ubaya wowote ila Nyalandu asije Shanghai akapata asilimia ndio sana ya kura zote.
 
Acheni demokrasia iamua kwenye sanduku la kura.
 
tatizo Nyalandu hataweza kumtia Jiwe kashikashi za nguvu kwenye uchaguzi mkuu...hilo tuu kwangu ndo linanipa mashaka.

otherwise namkubali Nyalandu kwa ujasiri/uthubutu kuacha ubunge ccm na kuja upinzani...tena awamu hii ya Jiwe sio jambo la kitoto!!!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…