Nyalandu anasema aliondoka CCM kwasababu kuna mambo hayakuwa sawa. Lakini sasa tunaona rais anahudhuria mpaka hafla za wapinzani. (Source:. StarTV Medani za Siasa muda huu).
Wazee wa legacy mpo? Wengi wanamsema mungu wenu.
* Mzee Diallo...tulikuwa na rais aliyepaswa kuwa Milembe.
" Zitto Kabwe... Magufuli alichoma shamba langu la korosho Mtwara.
Wazee wa legacy mpo? Wengi wanamsema mungu wenu.
* Mzee Diallo...tulikuwa na rais aliyepaswa kuwa Milembe.
" Zitto Kabwe... Magufuli alichoma shamba langu la korosho Mtwara.
- Askofu Mwingira kulikuwa na shetani ikulu.
- Nape Nnauye.. Mungu ameamulia ugomvi
- Mzee Wasira... Watanzania sasa wamepumua
- Membe...watanzania hawatekwi tena wala maiti haziokotwi kwenye viroba.