Lazaro Nyalandu: Watanzania sasa wameunganishwa, hapa katikati tuligawanywa

Lazaro Nyalandu: Watanzania sasa wameunganishwa, hapa katikati tuligawanywa

Mimi naona walioungana ni mafisadi endeleeni kupakiza wanyama kwenye madege na kupeleka Arabuni
Aisee tumekwisha maana nasikia vibali vya kulamba wanyama vishatolewa hii awamu ni.majanga no body cares
 
Chama cha majitu yasiyo na msimamo
Screenshot_20220604-232034~2.jpg
 
Ipo siku tutatumia akili zetu kufikiri na kuona ukweli tuache maisha yaendeleee maana kila mtu anafijiri kwa akili yake
 
Hao wote uliowataja ni watu wa fursa. Huyo kiongozi wa dini ye alifungua hadi benki. Alichukua mashamba ya wananchi kibaha.

Huyo Nape ye huwa anaamini ana hisa kwenye hii nchi.

Huyo wassira ye huwa anaamini anatakiwa awepo madarakani nyakati zote. Alitakaga kupigana na esther bulaya jimboni baada ya kugalagazwa uchaguzi 2015.

Huyo Membe alifungua hotel mtwara na hakuwahi kulipa kodi. 2016 TRA wakapiga utepe mwekundu hotel.
Ana shutuma ya kupiga bill 200 zilizotolewa na serikali kwa ajili ya mchakato wa kuanzisha kiwanda cha cement lindi.

Diallo ye aliamini ukiwa ccm basi we vunja sheria tu. Magu akamfundisha utaratibu wa kuishi hasa unapokuwa kiongozi ili uwe mfano kwa wengine. Alipodaiwa kodi ikawa shida.

Hawa wote Magu aliwajua nje ndani na hakutaka kuwalazia damu.
Sisi furaha yetu ni kuwa dhalim hayupo tena kwenye uso wa dunia hii na kamwe hatarudi tena kuleta ushenzi na ushamba wake
 
Hakuna mtu mwenye akili timamu atamsemea mazuri Mwendazake maana habebeki ila mburula ndio alikuwa mtu wao..

Vile akiwaigizia anakula mahindi basi walikuwa wanaona ni mnyongwe mwenzao [emoji1][emoji1]
Vipi Bibi naye anaigiza anaenda hafla za wapinzani
 
Nyalandu anasema aliondoka CCM kwasababu kuna mambo hayakuwa sawa. Lakini sasa tunaona rais anahudhuria mpaka hafla za wapinzani. (Source:. StarTV Medani za Siasa muda huu).

Wazee wa legacy mpo? Wengi wanamsema mungu wenu.

* Mzee Diallo...tulikuwa na rais aliyepaswa kuwa Milembe.
" Zitto Kabwe... Magufuli alichoma shamba langu la korosho Mtwara.
  • Askofu Mwingira kulikuwa na shetani ikulu.
  • Nape Nnauye.. Mungu ameamulia ugomvi
  • Mzee Wasira... Watanzania sasa wamepumua
  • Membe...watanzania hawatekwi tena wala maiti haziokotwi kwenye viroba.
 
Hao wote uliowataja ni watu wa fursa. Huyo kiongozi wa dini ye alifungua hadi benki. Alichukua mashamba ya wananchi kibaha.

Huyo Nape ye huwa anaamini ana hisa kwenye hii nchi.

Huyo wassira ye huwa anaamini anatakiwa awepo madarakani nyakati zote. Alitakaga kupigana na esther bulaya jimboni baada ya kugalagazwa uchaguzi 2015.

Huyo Membe alifungua hotel mtwara na hakuwahi kulipa kodi. 2016 TRA wakapiga utepe mwekundu hotel.
Ana shutuma ya kupiga bill 200 zilizotolewa na serikali kwa ajili ya mchakato wa kuanzisha kiwanda cha cement lindi.

Diallo ye aliamini ukiwa ccm basi we vunja sheria tu. Magu akamfundisha utaratibu wa kuishi hasa unapokuwa kiongozi ili uwe mfano kwa wengine. Alipodaiwa kodi ikawa shida.

Hawa wote Magu aliwajua nje ndani na hakutaka kuwalazia damu.
Mkuu hizi point wanao piga kelele hawajaona
 
Kwa kuongezea ni kama umesahau
1. Ni kama kuna shetani pia ndani ya kanisa maana tofauti na anachokihubiri hukwa Rukwa kajitwalia shamba la Nafko huku walalahoi wakipiga miayo.

2. Umesahau huyo Membe alikula chimbo na pesa za Libya hadi kuzungumkuti.

3. Nape anaamini kuzaliwa ndani ya chama abayo hati miliki ya kuwa waziri hajui kila mtazania ni zao la chama mboga.

So hizi kelele zote zina mizizi ambayo Magufuli alikuwa bado anaichimba wakamkatisha kabla hajawaweka sawa. Wote hawa ni naweza kusema tu ogopa wahuni
Kweli wahuni sio watu
 
Hao wote uliowataja ni watu wa fursa. Huyo kiongozi wa dini ye alifungua hadi benki. Alichukua mashamba ya wananchi kibaha.
Je ndio sababu ya kutaka kuuawa akakoswa koswa mara tatu kama alivyodai hadi aliempenyezea taarifa akauawa? Ndio sababu hiyo?
 
Mimi naona walioungana ni mafisadi endeleeni kupakiza wanyama kwenye madege na kupeleka Arabuni
Kwani hao wanyama miama yote wamekuwepo sisi watanzania wakawaida tulipata nini? Vitu visivyokuwa na faida acha wauze tu
 
Back
Top Bottom