Hakuna mtu mwenye akili timamu atamsemea mazuri Mwendazake maana habebeki ila mburula ndio alikuwa mtu wao..Mhe Nyalandu anasema aliondoka ccm kwasabb kuna mambo hayakuwa sawa. Lkn sasa tunaona rais anahudhuria mpk hafla za wapinzani. (Source:. StarTV Medani za Siasa muda huu).
Wazee wa legacy mpo?? Wengi wanamsema mungu wenu.
*Mzee Diallo...tulikuwa na rais aliyepaswa kuwa Milembe.
"Zitto Kabwe... Magufuli alichoma shamba langu korosho Mtwara.
*Askofu Mwingira kulikuwa na shetani ikulu.
*Nape Nnauye.. Mungu ameamulia ugomvi
*Mzee Wasira... Watanzania sasa wamepumua
*Membe...watanzania hawatekwi tena wala maiti haziokotwi kwenye viroba.
Hakuna mtu mwenye akili timamu atamsemea mazuri Mwendazake maana habebeki ila mburula ndio alikuwa mtu wao..
Vile akiwaigizia anakula mahindi basi walikuwa wanaona ni mnyongwe mwenzao 😄😄
Kwani kaongea uwongo ndugu yangu? (In jiwe's voice)Mjinga tu huyo
Makamba- sasa tu akula asaliNyalandu anasema aliondoka CCM kwasababu kuna mambo hayakuwa sawa. Lakini sasa tunaona rais anahudhuria mpaka hafla za wapinzani. (Source:. StarTV Medani za Siasa muda huu).
Wazee wa legacy mpo? Wengi wanamsema mungu wenu.
* Mzee Diallo...tulikuwa na rais aliyepaswa kuwa Milembe.
" Zitto Kabwe... Magufuli alichoma shamba langu la korosho Mtwara.
- Askofu Mwingira kulikuwa na shetani ikulu.
- Nape Nnauye.. Mungu ameamulia ugomvi
- Mzee Wasira... Watanzania sasa wamepumua
- Membe...watanzania hawatekwi tena wala maiti haziokotwi kwenye viroba.
mpaka akubandike kitu tumboni ndio utamheshimuMbowe anaombaomba mitaani kwa kisingizio cha join the chain
Hao wote uliowataja ni watu wa fursa. Huyo kiongozi wa dini ye alifungua hadi benki. Alichukua mashamba ya wananchi kibaha.Nyalandu anasema aliondoka CCM kwasababu kuna mambo hayakuwa sawa. Lakini sasa tunaona rais anahudhuria mpaka hafla za wapinzani. (Source:. StarTV Medani za Siasa muda huu).
Wazee wa legacy mpo? Wengi wanamsema mungu wenu.
* Mzee Diallo...tulikuwa na rais aliyepaswa kuwa Milembe.
" Zitto Kabwe... Magufuli alichoma shamba langu la korosho Mtwara.
- Askofu Mwingira kulikuwa na shetani ikulu.
- Nape Nnauye.. Mungu ameamulia ugomvi
- Mzee Wasira... Watanzania sasa wamepumua
- Membe...watanzania hawatekwi tena wala maiti haziokotwi kwenye viroba.
Mbona ashaanza kula maembe mabichi?
Una akili ndogo sana, umejenga hoja kama darasa la tatu bora ungekaa kimya.Hao wote uliowataja ni watu wa fursa. Huyo kiongozi wa dini ye alifungua hadi benki. Alichukua mashamba ya wananchi kibaha.
Huyo Nape ye huwa anaamini ana hisa kwenye hii nchi.
Huyo wassira ye huwa anaamini anatakiwa awepo madarakani nyakati zote. Alitakaga kupigana na esther bulaya jimboni baada ya kugalagazwa uchaguzi 2015.
Huyo Membe alifungua hotel mtwara na hakuwahi kulipa kodi. 2016 TRA wakapiga utepe mwekundu hotel.
Ana shutuma ya kupiga bill 200 zilizotolewa na serikali kwa ajili ya mchakato wa kuanzisha kiwanda cha cement lindi.
Diallo ye aliamini ukiwa ccm basi we vunja sheria tu. Magu akamfundisha utaratibu wa kuishi hasa unapokuwa kiongozi ili uwe mfano kwa wengine. Alipodaiwa kodi ikawa shida.
Hawa wote Magu aliwajua nje ndani na hakutaka kuwalazia damu.
Ccm imeoza.Hao wote uliowataja ni watu wa fursa. Huyo kiongozi wa dini ye alifungua hadi benki. Alichukua mashamba ya wananchi kibaha.
Huyo Nape ye huwa anaamini ana hisa kwenye hii nchi.
Huyo wassira ye huwa anaamini anatakiwa awepo madarakani nyakati zote. Alitakaga kupigana na esther bulaya jimboni baada ya kugalagazwa uchaguzi 2015.
Huyo Membe alifungua hotel mtwara na hakuwahi kulipa kodi. 2016 TRA wakapiga utepe mwekundu hotel.
Ana shutuma ya kupiga bill 200 zilizotolewa na serikali kwa ajili ya mchakato wa kuanzisha kiwanda cha cement lindi.
Diallo ye aliamini ukiwa ccm basi we vunja sheria tu. Magu akamfundisha utaratibu wa kuishi hasa unapokuwa kiongozi ili uwe mfano kwa wengine. Alipodaiwa kodi ikawa shida.
Hawa wote Magu aliwajua nje ndani na hakutaka kuwalazia damu.
Akisaidiwa na chizi mwenzake NdugaiLeo na mm naweka kauli yangu kuhusu Magufuli,. Muanze kuninukuu.
Sexless : nchi yetu ilikuwa inaongozwa na chizi.
Kwa kuongezea ni kama umesahauHao wote uliowataja ni watu wa fursa. Huyo kiongozi wa dini ye alifungua hadi benki. Alichukua mashamba ya wananchi kibaha.
Huyo Nape ye huwa anaamini ana hisa kwenye hii nchi.
Huyo wassira ye huwa anaamini anatakiwa awepo madarakani nyakati zote. Alitakaga kupigana na esther bulaya jimboni baada ya kugalagazwa uchaguzi 2015.
Huyo Membe alifungua hotel mtwara na hakuwahi kulipa kodi. 2016 TRA wakapiga utepe mwekundu hotel.
Ana shutuma ya kupiga bill 200 zilizotolewa na serikali kwa ajili ya mchakato wa kuanzisha kiwanda cha cement lindi.
Diallo ye aliamini ukiwa ccm basi we vunja sheria tu. Magu akamfundisha utaratibu wa kuishi hasa unapokuwa kiongozi ili uwe mfano kwa wengine. Alipodaiwa kodi ikawa shida.
Hawa wote Magu aliwajua nje ndani na hakutaka kuwalazia damu.
Hiyo namba 2 nakusilimishwa juu anaitwa nani vile!Kwa kuongezea ni kama umesahau
1. Ni kama kuna shetani pia ndani ya kanisa maana tofauti na anachokihubiri hukwa Rukwa kajitwalia shamba la Nafko huku walalahoi wakipiga miayo.
2. Umesahau huyo Membe alikula chimbo na pesa za Libya hadi kuzungumkuti.
3. Nape anaamini kuzaliwa ndani ya chama abayo hati miliki ya kuwa waziri hajui kila mtazania ni zao la chama mboga.
So hizi kelele zote zina mizizi ambayo Magufuli alikuwa bado anaichimba wakamkatisha kabla hajawaweka sawa. Wote hawa ni naweza kusema tu ogopa wahuni
Mimi naona walioungana ni mafisadi endeleeni kupakiza wanyama kwenye madege na kupeleka Arabuni
Bora limekufa litoa hongo ya madaraka liuwaji jizi litekaji na aoze milele.Hao wote uliowataja ni watu wa fursa. Huyo kiongozi wa dini ye alifungua hadi benki. Alichukua mashamba ya wananchi kibaha.