Lazaro Nyalandu: Watanzania sasa wameunganishwa, hapa katikati tuligawanywa

Mimi naona walioungana ni mafisadi endeleeni kupakiza wanyama kwenye madege na kupeleka Arabuni
Aisee tumekwisha maana nasikia vibali vya kulamba wanyama vishatolewa hii awamu ni.majanga no body cares
 
Ipo siku tutatumia akili zetu kufikiri na kuona ukweli tuache maisha yaendeleee maana kila mtu anafijiri kwa akili yake
 
Sisi furaha yetu ni kuwa dhalim hayupo tena kwenye uso wa dunia hii na kamwe hatarudi tena kuleta ushenzi na ushamba wake
 
Hakuna mtu mwenye akili timamu atamsemea mazuri Mwendazake maana habebeki ila mburula ndio alikuwa mtu wao..

Vile akiwaigizia anakula mahindi basi walikuwa wanaona ni mnyongwe mwenzao [emoji1][emoji1]
Vipi Bibi naye anaigiza anaenda hafla za wapinzani
 
 
Mkuu hizi point wanao piga kelele hawajaona
 
Kweli wahuni sio watu
 
Hao wote uliowataja ni watu wa fursa. Huyo kiongozi wa dini ye alifungua hadi benki. Alichukua mashamba ya wananchi kibaha.
Je ndio sababu ya kutaka kuuawa akakoswa koswa mara tatu kama alivyodai hadi aliempenyezea taarifa akauawa? Ndio sababu hiyo?
 
Mimi naona walioungana ni mafisadi endeleeni kupakiza wanyama kwenye madege na kupeleka Arabuni
Kwani hao wanyama miama yote wamekuwepo sisi watanzania wakawaida tulipata nini? Vitu visivyokuwa na faida acha wauze tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ