Lazaro Nyalandu: Watanzania sasa wameunganishwa, hapa katikati tuligawanywa

Nyalandu,Diallo and Membe are all opportunist,They have never been important leaders in Tanzania and never will they be.
 
Nyalandu anasema aliondoka CCM kwasababu kuna mambo hayakuwa sawa. Lakini sasa tunaona rais anahudhuria mpaka hafla za wapinzani. (Source:. StarTV Medani za Siasa muda huu).
Kweli ukicheza na siasa unaweza to get away with murder...., Anahudhuria hafla za wapinzani (get a photo shoot) wakati wangine wanapangiwa ubalozi, kazi maalumu na kupigwa propaganda ili wajiuzulu ? Huku wasimamia serikali wamegeuka cheerleaders wa kusifia na kuimba mapambio..., Badala ya kutatua changamoto na kutumia muda ni vipi tutaondoa madudu tunatumia muda kuonyesha ni vipi tunatenda vema kuliko hapo nyuma ambapo alikuwa hatendi mema (tunasahau wengine ni sisi sisi tulikuwepo hapo nyuma)

Tunapapasa wanaotupaka mafuta kwa mgongo wa chupa na kuwaparura wanaotwambia tufauti...

Kweli hata kama tulikuwa tumepotea sidhani kama hapa tulipo tumeona njia..., bado tumepotea...
 
Hii nchi wajinga ni wengi mana kwa yanayo endelea mpaka sasa ila wao na akili zao timam bado hawataki kuukubali ukweli kua Magufuli was the hero haya endeleeni na mama yenu
 
Mimi niliwahi kuambiwa na mtu mkubwa hasa wa vyombo vya ulinzi na usalama ambaye karibia kila siku alikuwa akiwasiliana na Magufuli.

Alisema hivi, "Tunaongozwa na kichaa. Anaweza kuua watu, anaweza kuwafunga watu, siyo kwa sababu wana makosa bali kwa sababu ameamua tu kufanya hivyo". Maneno haya nilitakumbuka daima.

Halafu niliwahi kuambiwa na mtu ambaye alikuwa waziri kwenye Serikali ya Magufuli, "Waambie wanyaze tu kimya japo wanajua kuwa alichosema Rais ni uwongo. Huyu bwana kosa kubwa unaloweza kumfanyia, na hatakuacha, ni kumpinga au kukosoa alichotamka, hata kama ni uwongo".
 
Msimseme vibaya malaika mkuu aliyeko jehanum muda huu
 
Mwenyezi Mungu analipenda sana Taifa letu Kwa kile alichotufanyia tarehe 17/03/2021
 
Hakuna mtu mwenye akili timamu atamsemea mazuri Mwendazake maana habebeki ila mburula ndio alikuwa mtu wao..

Vile akiwaigizia anakula mahindi basi walikuwa wanaona ni mnyongwe mwenzao [emoji1][emoji1]
Mm namkubali Sana magu achili mbali mambo yake ila show yake nimeielewaa
 
Kaka umenena vyema khak ya mungu
 
Wapigaji wote hao. Wasira aliyasema hayo baada ya kukosa ubunge.
 
Yeye mwenyewe Jiwe alikuwa mwizi, mwongo, laghai, hafuati shetia wala katiba.

Kawafunga watu kwa kuwaonea, kisha akawalazimisha walipe pesa, halafu hela yote waliyoitoa akaichukua yeye na Mganga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…