Lazaro Nyalandu: Watanzania sasa wameunganishwa, hapa katikati tuligawanywa

Magu je?
 
Haaaah yule mzee alikua katili mno..?
 
Hawampi break yani, back to back!
 
Nukuu nyengine: NCHI YETU IMECHEZEWA SANA! - JPM

Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
 
Sisi wacha Mungu tunaendelea kumshukuru Mungu kwa uamuzi na matendo yake makuu
 
Wajiona wao ndo wanastahiri kuitafuna hii nchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
We mtu anakwambia hakubaliani watu kutoka vyama vyengine kujiunga na CCM. Wengine ni mawaziri na wakuu wa Wilaya! Halafu KM CCM hakemei kauli kama hizi, kuonesha kwamba huyu Mtu hagusiki. Mtu ambae anajidanganya kwamba kama si yeye kuzunguka nchi nzima mpaka akaumia mkono basi CCM isingeshinda 2015!
Kwamba yeye na genge lake ndo wenye CCM. Utadhani wakati wa jpm hakuna uchaguzi au kikao kilichofanyika. Haiwezekani kwamba Magu alikuwa anafanya maamuzi peke yake.
Mtu anamkashifu Rais na tulisikia waziwazi, leo anarudishwa kuwa Waziri!

Muda utasema

Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
 
Haaaah yule mzee alikua katili mno..?
Hujawahi kujiuliza kwann ukatili wa yule Mzee unazungumziwa na wanasiasa, wenye vyeti feki and the likes na watu wa mitandao ambao 99% hawajawahi kuuona ukatili wa yule mzee zaidi ya kusimuliwa na hayo ma group hapo juu then nao wana yakuza?

Huku uswahilini sijawahi kuskia malalamiko ya watu dhidi ya Chuma.
Unakuta mtu anampin JPM na kifo cha Akwelina bt anakwepa kumpin JK na kifo cha mwandishi wa habari kule mbeya na yule dogo kule Arusha. Ana mpin JPM na Utekaji bt anakwepa issue ya Ulimboka, watu wana sahau Pinda once said wapigwe tu na wakapigwa kweli.

I have lost a classmate mwaka jana mwishoni, alikua kiongozi cdm, alipotea akapatikana sekotoure mochwari bt no one si pining it on mum(double standard).

Anyway JK once said, uthirithi adui wa mtu na mimi kwa akili zangu timamu nimegoma kurithi adui za hayo makundi hapo juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…