Lazima huwa unafanya moja ya vitu hivi unapohisi hakuna anaekuona!

Asante mleta mada Joseverest maana kama unafanya utafiti Wa mambo ya " hidden common human socio-behavioral practices " basi umefanikiwa kupata "sample space" za Ku justify ur hypothesis.
 
Tabia zingine common:
1. Kufungua na kuangalia Picha za utupu au kuangalia "pilau" la kikubwa kwenye PC au kilonga longa chako Hasa unapokuwa umebaki peke yako nyumbani au ofisini.

2. Kukojoa kwenye kopo mida ya usiku (kwa wasio na room self contained) Hasa wanawake na kwenda kumwaga mkojo nje asubuhi kiujanja ujanja aisonekane.

3.Kupiga chabo na kumvutia hisia demu mzuri au (Hasa mke Wa mpangaji mwenzio) kwa kupitia dirisha au kitasa cha mlango .

4. Kujifanya serious na kutokuwa na shobo nae kwa demu mzuri Wa kitaa au kwa mfanyakazi demu, afu akiondoka unaanza kumuwaza kama angekuwa demu wako namna ambavyo ungemchakaza kwenye mtanange.
 
Aisee ni kweli kabisa mkuu..asante kwa nyongeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…