Lazima Tanzania iwe na mpango maalumu wa kutengeneza Silaha za kujilinda

Lazima Tanzania iwe na mpango maalumu wa kutengeneza Silaha za kujilinda

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
Bajeti ya kila mwaka inaputa tu lakini sijawahi kuona bajeti mahususi ya kuunda silaha zetu.

Tanzania ina Uranium lakini sijasikia bajeti ya kuunda Silaha kali za nyuklia kwa ulinzi wetu.

Je, tunaogopa walami? Hakuna siku walami wataturuhusu kuunda silaha kali za kivita bali sisi tunatakiwa kujiongeza tu na kuanza kuunda silaha hizo kwa sababu nyenzo/resources tunazo.

Wakubwa wa dunia watatukataza tusijali na tuwaeleze ukweli kuwa tunataka kujilinda na sio kusubiri wao watulinde.

Huu ni uchokozi na uchokonozi tunaotakiwa kuufanya bila woga.

Tanzania ni nchi huru na tuna budi kufanya lolote kwa uhuru.

Nchi huru haipangiwi cha kufanya.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
 
JWTZ lazima ije na mkakati wa kujilinda nje ya mipaka ,sio kisilaha tu bali kiuchumi pia.

JWTZ lazima ijiandae kivita na kiuchokozi .

Tupo wengi na tuna uwezo
 
Je umejipanga kuishi na hizo consequences?? Utahimili nyundo za vikwazo kila angle?? Taifa lenyewe changa hili kiuchumi!!!
tusiogope consequences ,tujifunze hizo consequences na tuweke mipango halali na haramu towards the establishment n supremacy of our nation
 
Je umejipanga kuishi na hizo consequences?? Utahimili nyundo za vikwazo kila angle?? Taifa lenyewe changa hili kiuchumi!!!
tumejioanga na lazima tujipange zaidi,kamwe hatuwezi kuweka Sera na mipango yetu kwa kutegemea walami .. wawe ni wachina,Urusi au Marekani.


KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
 
Kwa kinachoendelea Ukraine, nchi yetu iweke Vingora ili tukivamiwa watu wajue.... Tuna radar ila sidhani kama tuna Defence system.

Nchi zilizoendelea zinaanika mitandaoni zana walizo nazo sisi zetu mi siri. Saa zingine kujianika kwa sababisha kuogopwa na maadui
 
Back
Top Bottom