Janjaweed
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 13,153
- 10,670
Hakuna silaha nzuri kama kujitosheleza kiuchumiBajeti ya kila mwaka inaputa tu lakini sijawahi kuona bajeti mahususi ya kuunda silaha zetu.
Tanzania ina Uranium lakini sijasikia bajeti ya kuunda Silaha kali za nyuklia kwa ulinzi wetu.
Je, tunaogopa walami? Hakuna siku walami wataturuhusu kuunda silaha kali za kivita bali sisi tunatakiwa kujiongeza tu na kuanza kuunda silaha hizo kwa sababu nyenzo/resources tunazo.
Wakubwa wa dunia watatukataza tusijali na tuwaeleze ukweli kuwa tunataka kujilinda na sio kusubiri wao watulinde.
Huu ni uchokozi na uchokonozi tunaotakiwa kuufanya bila woga.
Tanzania ni nchi huru na tuna budi kufanya lolote kwa uhuru.
Nchi huru haipangiwi cha kufanya.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Tuboreshe kilimo, nishati, elimu, viwanda na kujituma
Faida zake ni kubwa kuliko bunduki na mizinga