LBL: Pyramid Scheme Inayowatapeli Watu kwa Kisingizio cha Uwekezaji

Status
Not open for further replies.
Hizi zote wanaofaidi ni watu wa kwanza kujiunga wanaofuata ni vumbi linatimka
Alinza
pama fund
Idea debator
Scatec
Deci
Lilac mining
Kijiji app
Kalynda na wengine wengi na wote walipita na mizigo ya watu sahizi imekuja hio lbl hakuna jipya
 
Mimi hawa jamaa sins deni nao na nawaombea hero kwa Mungu huko walipo, niliingia kama intern nikalipwa sh 1675 kwa Sikh baada ya Sikh 5 niktoa zangu 5600 baada ya hapo nikajiunga rasmi tarehe 25 mwezi 10 mwaka Jana kama p1 na kulipa 50,000 wakatupeleka kwenye hotel moja Kali sana huku Mwanza inaitwa Taiwan hotel tilikila bata la kuyosha wakatupa na posho sh 10000, T-shirt na kofia baada ya hapo in kuvuta mkwanja tu hadi sasa nimeingiza zaidi ya laki 2 na maisha yanaendelea tu.
 
Kuna watu wameshapigwa changa?!
 
Basi soon jiandae
 
Mdogo wangu kama wiki iliyopita akanipigia simu ananiambia kuna fursa ya pesa, baadae nitakupigia simu nikueleze vizuri.

Hakunipigia ila nikaona status anawatangaza hao LBL.
Wanakuwa wanafanyaje hao SBL?
 
Mimi hawa jamaa sins deni nao na nawaombea hero kwa Mungu huko walipo, niliingia kama intern nikalipwa sh 1675 kwa Sikh baada ya Sikh 5 niktoa zangu 5600 baada ya hapo nikajiunga rasmi tarehe 25 mwezi 10 mwaka Jana kama p1 na kulipa 50,000 wakatupeleka kwenye hotel moja Kali sana huku Mwanza inaitwa Taiwan hotel tilikila bata la kuyosha wakatupa na posho sh 10000, T-shirt na kofia baada ya hapo in kuvuta mkwanja tu hadi sasa nimeingiza zaidi ya laki 2 na maisha yanaendelea tu.
Yaani kuanzia mwezi wa kumi mwaka jana hadi leo umeingiza laki mbili tu?

Sasa si uendeshe hata bodaboda?

Laki mbili anaweza kuipata kwa siku 10.
 
Ni kwamba kiwango cha elimu kwa watanzania ni kidogo au ni tamaa

Nyuzi zimo humu tangu kina DECI watu hawapitii kujifunza maana wote wana njia zile zile tu tofauti ni majina.
 
Ndiyo huwa hivyo... Au hujawasoma waliotangulia?

IMG-20250121-WA0003.jpg

Ndiyo huwa hivyo... Au hujawasoma waliotangulia?
 
Hakuna kipya hapo. Ponzi Au Pyramid schemes zote ziko ivo. Mwanzoni ni mtelezo, lakini Mwisho wa siku mkwamo wake hakuna atakayeweza kuwatoa watakaokuwa wamekwama.

Na bahati mbaya nchi nyingi Sheria zake juu ya hizo skimu huishia kutaifisha tu mali za wachezeshaji bila ya kurudisha Hela kwa wale watakao kuwa wamekwama.
 
Kwanini watanzania wengi wanatapeliwa na Ponzi schemes kama LBL Tanzania?
Nini channzo cha watu kutokupenda kufanya tafiti na kutafuta taarifa kabla ya kuinvest pesa.

Hakuna kampuni inayoitwa LBL Advertising Media LTD ambayo imesajiliwa Tanzania, ila kuna Kampuni yenye jina sawia imesajiliwa uingereza na raia wa marekani anaitwa Challis (see image). Hapa Tanzania kuna makampuni zaidi ya kumi yenye majina ya kufanana na hilo ambayo yamesajiliwa hivi karibuni. Kama kuna watu wa Brela humu wafanye uchunguzi yakinifu kuhusu uhusiano wa hizi kampuni.

TAHADHARI: Najua umeshawishiwa na kuona watu wanapata pesa, ila huu ni utapeli, kama umeweka pesa yako huko itoe chap, la sivyo soon utalambwa.

Nawasilisha!
Mwanangu kaweka laki Tisa huko
 
Hahaha eeeh
 
Hakuna kipya hapo. Ponzi Au Pyramid schemes zote ziko ivo. Mwanzoni ni mtelezo, lakini Mwisho wa siku mkwamo wake hakuna atakayeweza kuwatoa watakaokuwa wamekwama.

Na bahati mbaya nchi nyingi Sheria zake juu ya hizo skimu huishia kutaifisha tu mali za wachezeshaji bila ya kurudisha Hela kwa wale watakao kuwa wamekwama.
Naam
 
Kwanini watanzania wengi wanatapeliwa na Ponzi schemes kama LBL Tanzania?
Nini channzo cha watu kutokupenda kufanya tafiti na kutafuta taarifa kabla ya kuinvest pesa.

Hakuna kampuni inayoitwa LBL Advertising Media LTD ambayo imesajiliwa Tanzania, ila kuna Kampuni yenye jina sawia imesajiliwa uingereza na raia wa marekani anaitwa Challis (see image). Hapa Tanzania kuna makampuni zaidi ya kumi yenye majina ya kufanana na hilo ambayo yamesajiliwa hivi karibuni. Kama kuna watu wa Brela humu wafanye uchunguzi yakinifu kuhusu uhusiano wa hizi kampuni.

TAHADHARI: Najua umeshawishiwa na kuona watu wanapata pesa, ila huu ni utapeli, kama umeweka pesa yako huko itoe chap, la sivyo soon utalambwa.

Nawasilisha!
Hizi zinalipa kwa watu wachache wa mwanzoni....watu wakishakua wengi na kuzidi wanaoingia ultimately ita fail na hapo ndo wataanza kuonana wabaya
 
Hawa jamaa wanashawishi kinoma noma.
Wakiweka status zao utaona miamala mpaka unasema hawa jamaa wanajenga ghorofa kesho tu.
Lkn kwa namna wanavyokushawishi unagundua hawa jamaa masikini kuliko hata wewe.
Mfano: ulishakutana na wale njemba wa QNET, wanakuonesha mafanikio waliopata kwenye picha lkn wao wapo hoi. Wanakupiga mkwara na salamu ya kinyume nyume et good morning saa tisa mchana na wanakukazia mpaka uitikie... duh.
Lkn wacha tuibiwe tunapenda sana vya bure na mafanikio ya haraka haraka.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom