Le Baharia amuonya Diva Loveness

- hahahahahahahah THE KING OF ALL BONGO SOCIAL MEDIA NETWORK sasa ni safari ya Mwanza na Diamond na Neyo nikirudi Tanga na Mr. Blue nikirudi to Dubai ufunguzi wa Cable Channel ya Clouds nikirudi tayari tunaanza kuruka hewani at Swahili TV, naona umeshindwa kuweka jina na ID yako kama mimi hahahahahahaha huwezi maana inatakiwa kuwa na elimu kubwa sana na AKILI KUBWAZZZZ SANA hahahahahahah U know

- Halafu zimefika page 10 tayari huwa zikifikia ninaondoka kutoa nafasi kwa thread zingine maana ikiwepo thread yangu wananchi wanakuwa very excited kusoma majibu yangu hahahahahahahahahah leo umekutana na THE KING OF ALL BONGO SOCIAL MEDIA NETWORK hahahahaha U know

le Mutuz
 
Ziafika tu hata 100 mie sikuachi hadi utaje UMRI wako na jipya mwenyewe umeleta la Swahili TV tell us SHARE zako usizunguke na kuruka ruka kama Popocorn katika SUFURIA...Sema share zako kama una ubavu huo...
 
- mkuu mimi ndiye niliyeanza kukuomba uwe real na ku reveal jina lako na id yako kama mimi kama unataka heshima hapa kama niliyonayo, badala yake umeugeuza mjadala kuwa unavyotaka hahahahahaha aliyeanza ni mimi nilikuambia hivi wewe huwezi kuaminiwa na yoyote mwenye akili timamu cause unatumia majina ya bandia ina maana huna la ukweli hahahahahahahahhaa ni commnosense tu kwamba kama unadanganya jina huwezi kusema ukweli hahahahahahah

le Mutuz
 
Okey, nimekupata but sidhani kwa kila jina linaloonekana humu ndani ni fake mengine ni majina yetu, sisi ni wabantu bhana.
 
Hiki kipande kimenichekesha sana..
 
LeBaharia...LeMutuz kazi nzuri kiongozi. Mwezi wa saba naingia hapo Bongo lazima nije studio tufanye majadiliano mkuu.
 
Anko mbona hakuna mahala ulipoulizwa kuwa ulikuwa wapi,na nani na ukifanya nini?.
 
Anko mbona hakuna mahala ulipoulizwa kuwa ulikuwa wapi,na nani na ukifanya nini?.

- hahahahahahahahaa THE KING OF ALL BONGO SOCIAL MEDIA NETWORK ni kwamba hata wewe hakuna aliyekuuliza umesoma nini hapa ila kwa sababu mimi ni Big Celebrity ni muhimu ujue kwa nini nilikuwa sijaiona hii thread U know hahahaha leo nipo busy you know tunaelekea at the Airport kumpokea Neyo American Super Star Singer tayari kwa safari ya Mwanza kwenye JEMBEKA FESTIVAL JUMAMOSI HII hahahahahahaha kama vipi TUKUTANE HUKO inadhaminiwa na Vodacom Tanzania @vodacomtanzania hahahahahahaa U know

le Mutuz Nation
 
- Mtoto wa kiume mtumzima wanaume wanaongelea mambo muhimu ya maisha wewe unaongelea mashati yao, hahahahahaha hahahahaa umenivunja mbavu sana hahahahahaha

le Mutuz
Yap tuongee michongo ya maisha sio bla bla za mashat,viatu, tutakuwa mapunguani
 
Anko mbona hakuna mahala ulipoulizwa kuwa ulikuwa wapi,na nani na ukifanya nini?.
ha ha ha ha ha ha ha UMEPATA JIBU LAKO SAFIIII, umeniquote ila sijakuelewa sentence yako ha ha ha ha ha ha..
 
Taja Umri Wako Mbona Kama Unalikwepa Ilo Swali..
 
ha ha ha ha ha ha ha UMEPATA JIBU LAKO SAFIIII, umeniquote ila sijakuelewa sentence yako ha ha ha ha ha ha..
Nlitaka kumquote anko wile,nilikuwa ninamaana yangu kuuliza hivo,kupewa vocha kusikutoe akili ukajifanya huoni kama huyu jamaa hayuko sawa.
 
Nlitaka kumquote anko wile,nilikuwa ninamaana yangu kuuliza hivo,kupewa vocha kusikutoe akili ukajifanya huoni kama huyu jamaa hayuko sawa.

- The King Of All bongo Social Media Network last night hanging out with American Super Star Singer Neyo at the Special Party by Vodacom, hahahahahahaha ok watu wangu kesho ni safari ya Mwanza so tukutane Kirumba Stadium at JEMBEKA FESTIVAL sponsered by Vodacom Tanzania, kuna mashindano ya kupata tiketi za bure kwa Show la kesho nenda Instagram at @vodacomtanzania

le Mutuz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…