Le Baharia amuonya Diva Loveness

- Mimi sio BAlozi wa Vodacom ndio maana sibanwi kutumia mtandao wowote mimi ninawafanyia kazi za Social Media ndio maana Jumamosi nitaenda na Diamond na Neyo MWanza, utaona picha tu usiwe na wasi wasi U know

le Mutuz
mwaliko wako basi le mbebz nikakupetpet mwanza[emoji28]
 
Le Mutuz watu wanakuonea wivu mazee, le mutuz mutu asiye na hasira anayekutana na vikwazo kibao na maneno kibao...
Ila nd io cost za social media hizo mazee..

- No tofauti yetu ni mimi i get paid wao wanalia lia tu le mburulazzz ndio maana nawapenda maana wanazidi kupaisha my name kila likitajwa hapa page 10 U know hata nikiwa sipo maana nilikuwa Dodoma na Mafikizolo na Diamond U know hahahahah

le Mutuz
 
Kweli le akili kubwaah....tunaomba basi uambie umma umri wako halisi maana unazua mjadala ili huo mjadala uishe....
 

Ingependeza kuonyesha TUSI langu katika post yangu, mie nimetohoa tu kuwa HER INITIATIVE si TAASISI YA UDSM, na pale juu umeonyesha kuwa ni imeanzishwa na wanafunzi wa UDSM its fine umeeleweka....
 
Le mutumboziiii...lingekua na uwezo wa kukublock jf , ungeshachezea block....[emoji6] [emoji6] [emoji6]
 
Hahahahaaa! Mleta mada kama sio mwandishi wa magazeti ya Shigongo sijui...
 
Le shati kubwazzzz
Achana na Great SINKERS
Wanachojua ni kutukana TU.....

https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/15740668
 
Umesoma DSJ?
 
Hahahahaaaa The way le mutuz anavyo respond to these posts! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji30]
 

Msaga Sumu Kwa hiyo ilikuwa apige Watoto show?
 
Le akili kubwaz, Le Big show, Le degrees 3 zote za majuu, Le Baharia

Yani comment moja tu hii inamuingia mamilioni, huyu mtu ni namba nyingine. Wakina Bahresa wakae chonjo maana Le Akili Kubwaz anakuja kwa kasi mno..
 
dah hii imenichekesha sana,
 
Lemutuz a.k.a babu wa loliondo wote mmepatia umaarufu ukubwani
 

FYI, Le Mutuz..... I am only 29 kijana wala si Mtu mzima, with B.A (hons) UDSM, 2007 and M.Sc. (UDSM), 2014 kwa hiyo ukilinganisha umri wangu na elimu yangu unaweza kuelewa na si kila mtu aliyepo humu ndani ana kipawa cha kujisifia elimu na it is my expectations that a huge number of members humu ndani are more educated than you but they don't want to show off their education status.....na nimekuomba uonyeshe TUSI langu katika post yangu nadhani umekosa cha kusema, kwa hiyo tusitafutiane ban bure, na kutumia jina la bandia "its none of your business" asante.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…