- Haya mambo hayahitaji hasira hapo nilikuwa namkabidhi Makamu wa Rais kitabu nilichoandika chenye kurasa 368 kuhusu Kampeni za Mitandao kwenye Uchaguzi wa Rais uliopita, haya sema ni Kitabu cha taasisi yako hahahahahahaha wewe tulia hapa ni AKILI KUBWAZZZZ wewe utaishia kufukunyua ujinga ujinga tu kwenye mitandao na majina ya bandia hujiamini unaogopa ogopa, hata mambo ya AKILI KUBWA mtuachie sisi maana mimi siogopi natumia jina na id yangu cause nina mambo makubwa na educated,
- Wewe mtumzima umeenda shule kweli unatumia majina ya bandia kutukana watu mitandaoni unajiita Great Thinker? hahahahahahahaha please guys mnaharibu majina ya watu hahahahahahah
le Mutuz