Le Baharia amuonya Diva Loveness

Le Baharia amuonya Diva Loveness

- The King Of All bongo Social Media Network last night hanging out with American Super Star Singer Neyo at the Special Party by Vodacom, hahahahahahaha ok watu wangu kesho ni safari ya Mwanza so tukutane Kirumba Stadium at JEMBEKA FESTIVAL sponsered by Vodacom Tanzania, kuna mashindano ya kupata tiketi za bure kwa Show la kesho nenda Instagram at @vodacomtanzania

le Mutuz
Hapo si unamnyima mwenzio OXYGEN,mazoezi muhimu baba
 
Taja Umri Wako Mbona Kama Unalikwepa Ilo Swali..

- Kijana hesbu safisha macho kwanza na Wabebezz wakareezzz Super Mtindizzz pigana na maisha upate pesa uache majungu huku JF ukajirushe na Wabebezzz hawa wakileo hahahahahahahaa last night hiyo Hyatt Kempisk Hotel at KURA MAISHA BATAZZZZ BATANNNNN hahahahahahaha vyombo vikubwa hivyo hahahahaha U know

[emoji14] [emoji13] [emoji3] [emoji2] Sawa Bruh..
 
Hapo si unamnyima mwenzio OXYGEN,mazoezi muhimu baba

- Batazzzz BAtannnn sisi tunapiga kazi halafu tunakula batazzz na watoto wa kisasa wewe utabakia kupima picha zimekaaje hahahahahahahaha U know kijana kazana na maisha ama sivyo utawaona hawa kwenye picha na kuwaita shemeji tu hahahahahaa U know

Huna lolote,hao unawa pimp to the highest bidder
 
hahhahaaaaaaaaaaaaaaa acha nicheke tu mie

Lemutuz nipe kazi hapo ya kutangaza gospel music plsssss
 
Huna lolote,hao unawa pimp to the highest bidder

- hahahahahahaha ni kweli maana si nilianza kuku pimp wewe naomba useme na bei niliyokuuzia na niliikuuza kwa nani au unasemaje? maana ungejuaje kama sikuanza kukuuza wewe kwanza hahahahahahahahahah, hapo ni ofisini kwangu downtown Bongo Tancot House 3rd Fl unajua Mwanaume kazi kwanza hahahahaha, karibu naweza kukupatia ajira you never know hahahahaha

le Mutuz
 
- Haya mambo hayahitaji hasira hapo nilikuwa namkabidhi Makamu wa Rais kitabu nilichoandika chenye kurasa 368 kuhusu Kampeni za Mitandao kwenye Uchaguzi wa Rais uliopita, haya sema ni Kitabu cha taasisi yako hahahahahahaha wewe tulia hapa ni AKILI KUBWAZZZZ wewe utaishia kufukunyua ujinga ujinga tu kwenye mitandao na majina ya bandia hujiamini unaogopa ogopa, hata mambo ya AKILI KUBWA mtuachie sisi maana mimi siogopi natumia jina na id yangu cause nina mambo makubwa na educated,

- Wewe mtumzima umeenda shule kweli unatumia majina ya bandia kutukana watu mitandaoni unajiita Great Thinker? hahahahahahahaha please guys mnaharibu majina ya watu hahahahahahah

le Mutuz
naomba nikualike kwenye uzinduzi wangu wa kitabu mwezi wa july plss lemutuz the akili kubwaaaaz
 
- Bila tatizo lets communicate check me at +255 717 618 997 anytime, au karibu sana at my office Posta Mpya Tancot House 3rd FL., otherwise will be back on Monday matayarisho ya safari ya Mwanza now.

le Mutuz
Le Mkubwazzzzz
Unapokea mialiko tu

Vipi hujaona post yangu ....nilokuPM mkuu(sijakupiga mizingazzzz bali kuna ishu)
Le Milioneazzz naomba unijibuzzzzzz
Au hutumii PM
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
- hahahahahahaha wewe mambo yako ni ya bandia bandia ni fake fake sasa niambie kwenye kelele zote ulizoandika upi ni ukweli na upi ni fake ake kama jina lako? hahahahahahahahahah wewe ni bandia bandia tu hata maneno yako ni bandia bandia so mimi sio size yako mimi ni AKILI KUBWAZZZ tafuta bandia wenzako ubishane nao hahahahahahahaha

- Maneno mengi bandia bandia tu eti una degreee za bandia kama jina lako labda hahahahahahahhaa U know wewe umewahi kusikia wapi Shahidi mwenye jina la bandia akasema ukweli? hahahahahahahahaha

le Mutuz
mzee jibu swali la msingi una miaka mingapi?
 
Kwaiyo naye le mutuz atakuwa alegeza sauti kama diva si ndio

Au ushindani upi anausemea le bebezi
 
mzee jibu swali la msingi una miaka mingapi?

- hahahahaha ndio nimerudi U know nilikuwa MWanza for JEMBEKA FESTIVAL hapa ni back stage na KING OF POP IN EAST AFRICA Super Mega Star Diamond, unajua ilikuwa safari ya kikazi zaidi for Vodacom Tanzania so nimerudi now eti bado kuna ishu hapa? Yaani huajataja jina lako wala picha ila unauliza umri wa usiowajua? hahahahahahaha

le Mutuz
 
Kwaiyo naye le mutuz atakuwa alegeza sauti kama diva si ndio

Au ushindani upi anausemea le bebezi

- Ona mahaba ya wabebezzz wa Mwanza yaani hadi raha unaona faida ya kuwa Big Celebrity Super Models wanakupa bonge la kiss, wewe pigana uwe Star na wewe usafishe nyota U know uachane na majungu na kuandika ujinga ujinga kama huo mwanaume mzima ina maana wewe huwa unalegeza sauti maana huwezi kusema njia ambayo hujaipita pole sana hahahahahahahahahaha

le Mutuz
 
- hahahahaha ndio nimerudi U know nilikuwa MWanza for JEMBEKA FESTIVAL hapa ni back stage na KING OF POP IN EAST AFRICA Super Mega Star Diamond, unajua ilikuwa safari ya kikazi zaidi for Vodacom Tanzania so nimerudi now eti bado kuna ishu hapa? Yaani huajataja jina lako wala picha ila unauliza umri wa usiowajua? hahahahahahaha

le Mutuz
sio mimi,mimi ni mfuatiliaji tu na napunguza stress tu yapa za mchana kutwa,wewe umetakiwa ueleze umri wako sasa naona hili kama linapwaya,sasa mtajie umri ili mjadala uwe mzuri,na yy asipate sababu ya kutotaja jina lake ili mjadala uwe mtamu zaidi.
 
- sina tatizo wewe anza na kuweka picha na jina lako kamili then ndio mjadala utanoga, ila kula hizi picha za batazzz

- hahaha kijana hebu ona wabebezzzz tafuta pesa wewe ni mtoto wa kiume wacha majungu majungu tafuta pesa ule batazzzz kama mimi hahahahahaha U know

le Mutuz
 
- hahahahaha ndio nimerudi U know nilikuwa MWanza for JEMBEKA FESTIVAL hapa ni back stage na KING OF POP IN EAST AFRICA Super Mega Star Diamond, unajua ilikuwa safari ya kikazi zaidi for Vodacom Tanzania so nimerudi now eti bado kuna ishu hapa? Yaani huajataja jina lako wala picha ila unauliza umri wa usiowajua? hahahahahahaha

le Mutuz
Sawa baba tunyoshe tu,basi angalau tafuta wardrobe manager khaaaaaaa...........
 
Back
Top Bottom