Le Capitaine Hashimu Rungwe akiwa ndani ya Helkopta. Youtube Channel ya Chaumma yafikisha subscribers 250,000,mapambano yanaendelea

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
20,711
Reaction score
31,331
Ng'adu kwa ng'adu, mwamba Hashimu Rungwe akipepea ndani ya helkopta kusambaza ujumbe wa ukombozi wa umma.

Je unajua kwamba YouTube channel ya chaumma inakaribia watu 250,000 tangu ianzishwe.
 
Ng'adu kwa ng'adu, mwamba Hashimu Rungwe akipepea ndani ya helkopta kusambaza ujumbe wa ukombozi wa umma.

Je unajua kwamba YouTube channel ya chaumma inakaribia watu 250,000 tangu ianzishwe siku chache zilizopita.
View attachment 3356406
hii kitu wakiiona wananchadema inawakera mbaya sana aise dah, sijui kwanini yaan
 
Hamna chama humo, ni matapeli watupu wakisaisiwa na dola.
 
 
Wachaga msikubali kufedheheshwa na wajinga wa chauma. Huyo Mrema, Minja et al mbinu zao ni chovu hazioneshi werevu mliosifika nao miaka nenda rudi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ