Makongodcrue
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,864
- 2,591
Hao subscribers ni nyie machawa na CCM wengine, msiwaone watu mafala sanaNg'adu kwa ng'adu, mwamba Hashimu Rungwe akipepea ndani ya helkopta kusambaza ujumbe wa ukombozi wa umma.
Je unajua kwamba YouTube channel ya chaumma inakaribia watu 250,000 tangu ianzishwe siku chache zilizopita.
View attachment 3356406