Le Capitaine Hashimu Rungwe akiwa ndani ya Helkopta. Youtube Channel ya Chaumma yafikisha subscribers 250,000,mapambano yanaendelea

Le Capitaine Hashimu Rungwe akiwa ndani ya Helkopta. Youtube Channel ya Chaumma yafikisha subscribers 250,000,mapambano yanaendelea

Hiki chama kinapigiwa promo na ccm kuliko CHAUMMA wenyewe.
 
Mrema niJambazi limeiba acc za CDM limeenda nazo chauma. Laana hizo za kuzomewa.
 
Hoi kwa sasa hata mwezi haujaisha!

Huu moto wa mabua na sarakasi za Rufiji & Kizimkazi wananchi wamezipuuza .

Upepo umebadilika wamerudi kwenye drawing board!
 
Plan A imefeli wanasubiri plan B bunge uchwara la Rango likivunjwa wamlete mwamba wa Hai kuchangamsha genge ila hawatoamini macho yao.
Ni kweli kama unavyosema, bunge likivunjwa kutakuwa na sarakasi na vichekesho
 
Back
Top Bottom