Makongodcrue
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,864
- 2,591
Hao subscribers ni nyie machawa na CCM wengine, msiwaone watu mafala sanaNg'adu kwa ng'adu, mwamba Hashimu Rungwe akipepea ndani ya helkopta kusambaza ujumbe wa ukombozi wa umma.
Je unajua kwamba YouTube channel ya chaumma inakaribia watu 250,000 tangu ianzishwe siku chache zilizopita.
View attachment 3356406
Fedha wanatoa wapi. Hawana ruzuku, miradi wala raslimali kubwa. Haya dunia duara ulimwengu shujaaAsante mkuu, karibu sana nikupe kadi ya uanachama
Akili kisoda hiziNg'adu kwa ng'adu, mwamba Hashimu Rungwe akipepea ndani ya helkopta kusambaza ujumbe wa ukombozi wa umma.
Je unajua kwamba YouTube channel ya chaumma inakaribia watu 250,000 tangu ianzishwe siku chache zilizopita.
View attachment 3356406
Ni watanzania wote
CHADEMA lazima wapoteane.
Watumbua tu kodi zetuNg'adu kwa ng'adu, mwamba Hashimu Rungwe akipepea ndani ya helkopta kusambaza ujumbe wa ukombozi wa umma.
Je unajua kwamba YouTube channel ya chaumma inakaribia watu 250,000 tangu ianzishwe.
View attachment 3356406
Watekaji kazini. Ueni lakini kumbukeni yupo MunguChadema wana roho mbaya sana
#C4C
#C4C means chauma for ccm
Chadema wana roho mbaya sana
#C4C chauma for ccm