900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 9,485
- 11,556
chauma for ccmChauma for Change
Aha kimetokea nn uko,Hoi kwa sasa!
Huu moto wa mabua na sarakasi za Rufiji & Kizimkazi wananchi wamezipuuza .
Upepo umebadilika wamerudi kwenye drawing board!
Plan A imefeli wanasubiri plan B bunge uchwara la Rango likivunjwa wamlete mwamba wa Hai kuchangamsha genge ila hawatoamini macho yao.Aha kimetokea nn uko,
Ni kweli kama unavyosema, bunge likivunjwa kutakuwa na sarakasi na vichekeshoPlan A imefeli wanasubiri plan B bunge uchwara la Rango likivunjwa wamlete mwamba wa Hai kuchangamsha genge ila hawatoamini macho yao.
Chaumma ibarikiwe sanaNg'adu kwa ng'adu, mwamba Hashimu Rungwe akipepea ndani ya helkopta kusambaza ujumbe wa ukombozi wa umma.
Je unajua kwamba YouTube channel ya chaumma inakaribia watu 250,000 tangu ianzishwe.
View attachment 3356406
Ninyi wenye ruzuku mnafanya nini la maana?Fedha wanatoa wapi. Hawana ruzuku, miradi wala raslimali kubwa. Haya dunia duara ulimwengu shujaa
Mjinga mkubwa sana huyo.Ng'adu kwa ng'adu, mwamba Hashimu Rungwe akipepea ndani ya helkopta kusambaza ujumbe wa ukombozi wa umma.
Je unajua kwamba YouTube channel ya chaumma inakaribia watu 250,000 tangu ianzishwe.
View attachment 3356406