Le Mutuz aenda kumsalimia Shose Sinare gerezani

Status
Not open for further replies.
Le gademu ,you are too lazy to hold a grudge ,nimependa tu sense of humor yako
Otherwise wewe ni le akili ndogo sema imepata bahati ya kuongozwa na mwili mkubwa

- hahahahahahaha I can live with that so unasema watu wenye akili ndogo bongo wote wana kampuni kama mimi na wana maisha super kama yangu, sawa mkuu hahahahaha ila siwezi kuwa na akili kubwa nikatumia picha za watu nisiowajua na wasionihusu na huku nikitumia majina ya bandia kutukana watu nisiowajua na wasionihusu, unasema kuwa kama wewe ni kua na akili kubwa? hahahahahaha NAFWAZZZZ

le Mutuz
 





Bro majibu yako Tu ndio yananifanya niendelee kusoma Uzi unaokuhusu mpk mwisho!
 


- Kesho tukutane at "SUNRISE" 100.5 TIMES FM kuanzia Saa 12 Asubuhi mpaka Saa Tatu nitakuwa hewani live with MCPilipili so usiwe na wasi wasi kama unataka sikilizia Radio kesho Asubuhi live!! - le Mutuz
sawa mkuu, ntajitahidi nisikilize madini yako.
 
Wewe huna kampuni wala nini na huna cha busness patner na Devis Mosha bali unajipendekeza kwake upambe tu wala si zaidi , hizo Safari zitakuwa za kulazimisha au kuomba omba tu ili akuone una network mjini , huna nyumba wala nini hizo ni fix bado unakaa Kwa wazazi ushahidi upo .
 
- Huu ndio pure umburulazzz, Mzee Kitilya, Sioi na Shose wanatuhumiwa kwa kesi moja hivi kweli unadhani hawana watu wao wanaowapigania kuwatoa mpaka wanisubiri mimi? Are you serious or you just kidding? hahahahahah

le Mutuz
Wewe Kubwa jinga tu Sasa Kama Ulikuwa na nia ya kuwajulia hali Kwa nini hukwenda kimya kimya? Unajitangaza ili iweje ?
 


- Kesho tukutane at "SUNRISE" 100.5 TIMES FM kuanzia Saa 12 Asubuhi mpaka Saa Tatu nitakuwa hewani live with MCPilipili so usiwe na wasi wasi kama unataka sikilizia Radio kesho Asubuhi live!! - le Mutuz
Mda huo watu wanakuwa wanataka kujua huduma za jamii zinatatuliwa vp mda wa kazi tu , Sasa unataka watu waache kazi wakae kukusikiliza wewe. Ni kitu gani cha maana utaongelea? Huchelewi kuwasifia wanaume wengine live !'
 
Le Mutuz bado anakaa Kwa wazazi licha ya kuwa na umri wa miaka 54 lakini anazuga amepanga town , kazi yake Kwa Sasa ni Upambe na kupiga picha na warembo kisha kuwafanyia ukuadi wengine anajisevia mwenyewe .hataki kumuunga mkono Magufuli Kwa Kauli yake hapa kazi tu , amekalia kuzurula Usiku na mchana kwenye bar na mahoteli mbalimbali hana jipya, alikuwa kasahaulika Sasa kaamua kusaka kiki kupitia watuhumiwa wa Rumande ya Keko.
 
kwanini unamchukia sana williamu mkuu?
Mkuu binafsi simchukii yeye Kama willium Bali nazichukia baadhi ya Tabia zake hususani hiyo Tabia ya kujipendekeza pendekeza na Tabia ya kupenda picha kila dk anataka aweke picha kwenye Mitandao wakati Umbo lake baya , amenenepa kama Simtank hataki kufanya mazoezi mafuta yapungue kwenye Ubongo azinduke aache mambo ya ajabu ajabu, inaelekea ww ni rafiki yake naomba mshauri aache upambe mie simchukii kabsa bali namkosoa tu.
 
Watu mbona mnamzingua sana le bilionea namba moja Afrika mashariki Lemutuz, U know.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…