William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
You got it ma ninja!
Will hit you up in a minute...
- Yeah waitin U know
le Mutuz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You got it ma ninja!
Will hit you up in a minute...
Le gademu ,you are too lazy to hold a grudge ,nimependa tu sense of humor yako
Otherwise wewe ni le akili ndogo sema imepata bahati ya kuongozwa na mwili mkubwa
- hahahahahahaha I can live with that so unasema watu wenye akili ndogo bongo wote wana kampuni kama mimi na wana maisha super kama yangu, sawa mkuu hahahahaha ila siwezi kuwa na akili kubwa nikatumia picha za watu nisiowajua na wasionihusu na huku nikitumia majina ya bandia kutukana watu nisiowajua na wasionihusu, unasema kuwa kama wewe ni kua na akili kubwa? hahahahahaha NAFWAZZZZ
le Mutuz
Ukijifanya mjanja utanyea debe.Samahani mkuu hivi hizo ndoo wanazoenda nazo mahabusu zina nini ?? Nilimwona pia Kitilya na Sioi wamezibeba
Kwa hiyo hizo ndoo wanaenda kutumia kama choo ??Ukijifanya mjanja utanyea debe.
Sijui mkuu, labda wanaofahamu watuambie, maana hata mimi nina shauku ya kujua.Kwa hiyo hizo ndoo wanaenda kutumia kama choo ??
MiaMbona unaandika"kimbeyambeya"tulia andika vizuri tena,
ndoo ni kama choo mahabusu naona hawataki kushea na za mahabusu wenzaoSijui mkuu, labda wanaofahamu watuambie, maana hata mimi nina shauku ya kujua.
Wewe huna kampuni wala nini na huna cha busness patner na Devis Mosha bali unajipendekeza kwake upambe tu wala si zaidi , hizo Safari zitakuwa za kulazimisha au kuomba omba tu ili akuone una network mjini , huna nyumba wala nini hizo ni fix bado unakaa Kwa wazazi ushahidi upo .- HAHAHAHA unajua uongo ukirudiwa sana bila kujibiwa unaweza kugeuka kuwa ukweli naomba nikjibu point zako kimsingi na very breifly:-
1. Mimi ni THE KING OF ALL BONGO SOCIAL MEDIA NETWORK so I make my bread kwa kazi zangu katika Mitandao ya kijamii so sehemu ninaenda kikazi zaidi ndio maana ninapiga picha na kurusha kwenye Social Media pamoja na maelezo, kwa mfano nilipokuwa Lagos majuzi nilikuwa nimepelekwa kikazi na DSTV kuripoti Awards ambazo Lulu na Richie kutoka Tanzania walifanikiwa kupata zawadi hizo, katika siku tatu za kuripoti back I was able to reach viewers 19 Millioni which was a record, otherwise sijawahi kupiga picha na kuzibandika zisizokuwa na mlengo wa my business yaani Social Media.
2. Umri wangu naona mpaka leo unawatesa infact unamtesa hata my ex wife kila wakati anasema umri tofauti, naona wewe leo umeamua ku settle na 54, mara ya mwisho nilikuwa na umri kama wa Pinda hahahaha so nimeshazoea kila siku umri wangu unageuzwa geuzwa ni dalili za mnaonichukia kukosa hoja za msingi za kunichukia hahaha ninakuwa kama Trump yaani the more mnarusha your hate mnazidi kunipaisha juu zaidi hahahahaha and I love it!!
3. Super Bilionea Davis Mosha ni my Business Patner, sikujua kwamba kwenye kutafuta pesa kuna umri ukifikia hutakiwi kutafuta zaidi maana namjua Mzee Mengi toka nikiwa mtoto anatafuta pesa mpaka leo anaendelea kutafuta pesa, kumbe wewe ndiye unayeamua wabongo wakifikia umri kama wangu hawatakiwi kutafuta pesa tena au wakitafuta hawatakiwi kushirikiana na kina Diamond Platznumz maana ni wadogo kwa umri? hahahahahaha sijawahi kusikia this kind of theory isipokuwa utakuwa ni mburulazzz namba moja pole sana!!
4. Kuhusu maisha yangu ni kwamba ninaishi Jamhuri Street downtown ambapo nina 3bedrooms Apartment kwenye Jengo jipya la Palace na ninaishi hapa for the last 3 years, sasa nashangaa habari za kuishi kwa Wazazi zinatokea wapi? hahahaha na besides bado nina Shamba la eka tano na Nyumba kubwa ya vyumba vinne kule Kinyerezi niliyoijenga nikiwa Majuu, na pia hapa mjini ninamiliki kampuni yangu ya Social Media ninatoa ajira kwa Vijana 4 waliomaliza Vyuo Vikuu hapa nyumbani ninategemea kuipanua kampuni yangu by mwisho wa MWaka nitoe angalau ajira 10 zaidi kwenye kampuni yangu, so relax ok!!
- Kwa kumaliza ni kwamba in two days naruka kwenda Nairobi kwa mualiko wa kikazi wa Citizen TV ya Kenya ambayo mimi na Davis Mosha tunatarajiwa kuanza kufanya nao kazi once tukifungua our African Swahili Media Radio & TV by mwisho wa mwezi huu, nikurudi again nitaruka tena kwenda Joe'burg/South Africa again kwa mualiko wa kikazi wa Kampuni ya Pombe kali Glenfiddich Inc., na nikirudi nitaruka tena kwenda Dubai kwa jili ya Official Launch ya Clouds Media Cable Channel. Now hebu think again huyo unayemuongelea ni mimi kweli au somebody else? hahahahaha
- Ni kweli jana nilikwenda Rumande kuwaona Marafiki wangu like Mzee Kitilya na sioi na wengineo, in the process nikakutana na watu wengi sana ninaowafahamu pia nilifuatana na My business Patner Davis Mosha, we were able kutoa misaada mingi kwa watu mbali mbali tunaowafahamu ambao tulikutana nao huko Rumande, sidhani kama kwenda kumtembelea rafiki rumande ni tatizo.
- BY THE WAY KESHO NITAKUWA TIMES FM KUANZIA SAA KUMI NA MBILI ASUBUHI SO STAY TUNED MPAKA SAA TATU, KUONGELEA EVERYTHING SO SIKILIZA U KNOW
le Mutuz
Wewe Kubwa jinga tu Sasa Kama Ulikuwa na nia ya kuwajulia hali Kwa nini hukwenda kimya kimya? Unajitangaza ili iweje ?- Huu ndio pure umburulazzz, Mzee Kitilya, Sioi na Shose wanatuhumiwa kwa kesi moja hivi kweli unadhani hawana watu wao wanaowapigania kuwatoa mpaka wanisubiri mimi? Are you serious or you just kidding? hahahahahah
le Mutuz
Mda huo watu wanakuwa wanataka kujua huduma za jamii zinatatuliwa vp mda wa kazi tu , Sasa unataka watu waache kazi wakae kukusikiliza wewe. Ni kitu gani cha maana utaongelea? Huchelewi kuwasifia wanaume wengine live !'
Mkuu binafsi simchukii yeye Kama willium Bali nazichukia baadhi ya Tabia zake hususani hiyo Tabia ya kujipendekeza pendekeza na Tabia ya kupenda picha kila dk anataka aweke picha kwenye Mitandao wakati Umbo lake baya , amenenepa kama Simtank hataki kufanya mazoezi mafuta yapungue kwenye Ubongo azinduke aache mambo ya ajabu ajabu, inaelekea ww ni rafiki yake naomba mshauri aache upambe mie simchukii kabsa bali namkosoa tu.kwanini unamchukia sana williamu mkuu?
saluti haipigwi ukiwa umekaa na huwezi kusimama ndani ya gariNdio maana kama amekauka vile? mbona ka salute hamna?
Kumbe ndo portable toilet hiyo, duh!ndoo ni kama choo mahabusu naona hawataki kushea na za mahabusu wenzao