ROBERT MICHAEL
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 5,054
- 2,858
- Nikifikia huo umri hutaniona tena ila kwa sasa utanisoma tu u know hahahahahaha
Le Mutuz
- hahahahahahaha kumbe humu tuna watoto wachanga wananyonya maziwa rudisha kadi mkuu kesho U know hahahaha, ila kumbuka sasa ni page ya 9 ikifika 10 basi
Le Mutuz
Broo unajiita mdogo na tena hujakulia kwene shida ila sura broo inaonesha umri ushafika saa 6 usiku broo... sura inaonesha umekula chumvi... au ndo mzee kijana??!!
- Wala sio kweli mabebez wote hawa wananizimikia unafikiri wanaweza zimikia mzee wa miaka 60 please, mabebz wote wananiita baby face U know, so wewe tuliza boli u know hahahahahahaha
Le Big Show
We pepe kale una umri kuliko Tanzania,umezaliwa kabla ya Tanzania.... ila kazi kupiga picha na wajukuu zako wanakuita babu jinga ...ndio maana mkeo alikufykuza kama paka...nawaonea huruma wanao.
Yaaani...nashindwa kuamini...we na uzee huo uko UVCCM.......kwa vigezo gani?
Khaaaa...siwezi kuchanganyika na Wazee....bora nirudishe kadi....!
lusungo njoo uone maajabu ya dunia...huyu kikongwe nae yupo umoja wa vijanaaaa....
- Wala sio kweli mabebez wote hawa wananizimikia unafikiri wanaweza zimikia mzee wa miaka 60 please, mabebz wote wananiita baby face U know, so wewe tuliza boli u know hahahahahahaha
Le Big Show
Babyface!!
Mabebz gan broo iyo miyolele ya mjini apa... nway im. Not sure abt your financial statement bt kuna mabebz si wachoyo kabsa ukiwa na status tu hata uwe babu bomba utaitwa baby face... watchout bro
- Mtaje mmoja tu uliyewahi kumpata hahahahahahahahahaha
Le Mutuz
- Sasa mbona dada yako anahangaika kuniomba nimrudie hahahahahahaha pole sana simrudii never!!, Wakoloni walikuwepo mpaka mwaka 1965 ndio waliondoka kwenye utawala wa Mkoloni hakukuwa na mweusi mkuu wa Wilaaya akili ndogo huwezi hata kuitumia kidogo U know
Le Mutuz
Le Mutuz
M sio maarufu mzee bt nna kila kitu.. nna elimu kama ya mbebz wako bt im jc 26
- Yaaap Le Mutuz Big Show Le Baharia U know
Le big Show
umezaliwa miaka ya 50 unalingana na Baba yangu...unapiga picha na watoto wa 1996 uhoni ata aibu, ata kama ni uliruka stage.
- Ungekuwa usingekuja hapa kupoteza muda na mtu asiyekuhusu kwenye maisha upo kujadili watu kwa sababu huna life baby wangu hana huo muda U know ok!! hahahahahahaha
Le Mutuz
Naona uzi wako umefika page unazozitaka kweli wewe babu maarufu sana.
Asa we si maarufu... mzee so Tunakujadili le mutuz super star
- hahahahahahahahah si nilikwambia ndio ki9nga yangu nikienda kutafuta matangazo ya blog huwa ninawaambia tizama kule JF nikitajwa tu page 10 kwenda mbele, thank u guys sasa imetosha au mnataka niendeleee? hahahahaha
Le Mutuz
- Lazima uje uweke jina lako kwa sababu ukimjadili Celebrity kama mimi unaweza na wewe ukaonekana ukatoka U know
Le Mutuz
- at 15 nilikuwa majuu nakula bataz aliyeruka stage kazi yake inakuwa kuja JF kujadili wanaomzidi life wewe huna life ndio maana na yule dada yako amechina U know, leo thai village kama kawa
Le Mutuz