William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
Kina Hamisa vya wote wanakushinda unaishia kupiga picha nao, utamweza dada wa nani....ayo maisha tuachie ma yanki umeshachelewa, unatishia bata? sisi tunazila wakati muafaka sio wewe uliochezea.
Elimu ishanitoa u knw... so Siitaji toka tena bt mijitu mizima kujiita mnakula ujana n kutunyang'anya haki zetu vijana bwana
Le Mutuz hivi huna mtoto wa kike?
- fungua thread yake hii haihusu U know ok!!
Le Mutuz
- Mtoto mchanga kanyonye maziwa ya mama hapa JF sio mahali pako dogo ok hahahahahaha
Le Mutuz
Bora mie mtoto kuliko wewe kikongwe unayeng'ang'ania ujana....halafu ujue uzee hauna dawa looooo....
na ndo maana unanyoa ndevu zotee..manake zina mviiiii...hahahaaaaa!
Ila tuache masihara...hiyo kadi ya umoja wa vijana rudisha, ushakuwa mzee u know....!
Le mburulaz...super mzeee u know...!
Nilikuwa nataka nichumbie mtoto wako ili nami niitwe mkwe le bilionea Le mutuz.
- hahahahahahahaha unanivunja mbavu sana mimi ndio mwenyewe ukiona mwingine ujue feki yaani Le Mutuz Big show Le Baharia, umeishiwa cha kuandika so tuliza boli huna life so utaisoma tu my life
Le Mutuz
- Hapana sina mtoto wa kuolewa maan ingawa unanivunja mbavu u know hahahahahahahahaha, OK BY THE WAY NAOMBA KUISHIA HAPA MAANA NAONA PAGE ZINAZIDI KUONGEZEKA NILITAKA PAGE 10 TU SO I AM DONE KWAHERINI NA KARIBUNI SANA U KNOW
Le Big show

- Yaaap Le Mutuz Big Show Le Baharia U know
Le big Show
- CCM wakinidharau nitajitoa siku hiyo hiyo wanajua jinsi Chadema wanavyonitaka na wewe unajua kwamba vizuri hilo, by the way huyo kwenye picha sio mbaby wangu mwenyewe yupo U know hahahahahaha
Le Mutuz
Mkuu si hivyo,tatizo ni kwamba ulipokuwa mtoto na ukasema nataka mma,taka shii,taka nyam tulikuelewa ila kwa sasa ukisema maneno hayo hayo kwa matamshi yaleyale ya utotoni hatukuelewi!Wadau mtu kuelezea hisia zake ni tatizo??wekeni na wenu tuone sura zao