Le Mutuz amuonyesha baby wake

Le Mutuz amuonyesha baby wake

Status
Not open for further replies.
Kina Hamisa vya wote wanakushinda unaishia kupiga picha nao, utamweza dada wa nani....ayo maisha tuachie ma yanki umeshachelewa, unatishia bata? sisi tunazila wakati muafaka sio wewe uliochezea.

- Sasa unataka nikutajie mabeby wote niliowahi kuwa date ndio utoto kweli wewe ni mtoto pole sana sisis tunakula bataz tu wewe utapiga kelele huko pembeni mpaka ukome sisis ni bataz tu leo thai village njoo uone na wabebez U know

Le Mutuz
 
- Mtoto mchanga kanyonye maziwa ya mama hapa JF sio mahali pako dogo ok hahahahahaha

Le Mutuz

Bora mie mtoto kuliko wewe kikongwe unayeng'ang'ania ujana....halafu ujue uzee hauna dawa looooo....
na ndo maana unanyoa ndevu zotee..manake zina mviiiii...hahahaaaaa!

Ila tuache masihara...hiyo kadi ya umoja wa vijana rudisha, ushakuwa mzee u know....!

Le mburulaz...super mzeee u know...!
 
- hahahahahahahaha unanivunja mbavu sana mimi ndio mwenyewe ukiona mwingine ujue feki yaani Le Mutuz Big show Le Baharia, umeishiwa cha kuandika so tuliza boli huna life so utaisoma tu my life

Le Mutuz
 
Nilikuwa nataka nichumbie mtoto wako ili nami niitwe mkwe le bilionea Le mutuz.

- Hapana sina mtoto wa kuolewa maan ingawa unanivunja mbavu u know hahahahahahahahaha, OK BY THE WAY NAOMBA KUISHIA HAPA MAANA NAONA PAGE ZINAZIDI KUONGEZEKA NILITAKA PAGE 10 TU SO I AM DONE KWAHERINI NA KARIBUNI SANA U KNOW

Le Big show
 
- hahahahahahahaha unanivunja mbavu sana mimi ndio mwenyewe ukiona mwingine ujue feki yaani Le Mutuz Big show Le Baharia, umeishiwa cha kuandika so tuliza boli huna life so utaisoma tu my life

Le Mutuz

Mwenyewe unanivunja mbavu hatariii.....

Ila rudisha kadi ya umoja wa vijana u know....kama hutaki basi fuga ndevu u know....ili tuone maajabu ya kijana mwenye ndevu zenye mviiiiiii....!

#Le super mzeee...
 
Le Mutuz eti wewe una unasaba na Goliath?
ukubwa wa miili yenu kama wafanana
 
- Hapana sina mtoto wa kuolewa maan ingawa unanivunja mbavu u know hahahahahahahahaha, OK BY THE WAY NAOMBA KUISHIA HAPA MAANA NAONA PAGE ZINAZIDI KUONGEZEKA NILITAKA PAGE 10 TU SO I AM DONE KWAHERINI NA KARIBUNI SANA U KNOW

Le Big show

Poa le future bilionea mzee.
 
- Hapana sina mtoto wa kuolewa maan ingawa unanivunja mbavu u know hahahahahahahahaha, OK BY THE WAY NAOMBA KUISHIA HAPA MAANA NAONA PAGE ZINAZIDI KUONGEZEKA NILITAKA PAGE 10 TU SO I AM DONE KWAHERINI NA KARIBUNI SANA U KNOW

Le Big show

Ila wewe ushazeeka u know...rudisha kadi ya vijana...
Mwaka 1965 sio leo u know.....

Acha kujibebisha mtu mzimaaa....!
 
- CCM wakinidharau nitajitoa siku hiyo hiyo wanajua jinsi Chadema wanavyonitaka na wewe unajua kwamba vizuri hilo, by the way huyo kwenye picha sio mbaby wangu mwenyewe yupo U know hahahahahaha

Le Mutuz

Ukitoka CCM si utakufa njaa wewe halafu acha u-popompo hivi unafurahia tu page kuwa nyingi bila kuangalia watu wanavyo ku-comment hovyo... ingekuwa page zinajaa kwa positive comments juu yako hapo ndo ungetakiwa kujisifu lkn karibia watu wote wanatoa negative comments juu yako nawewe unaona ni sifa??? Mtu hatakiwi kujisifu ila husifiwa na watu wengine
Sidhani hata kama unafahamu maana ya neno millionaire wewe... ungefahamu wala usingethubutu kujiita millionaire wewe popompo
 
by W. J. Malecela;
- No ni tabia ya Wabongo kukataa huku wanakubali kwa matendo, mkuu kila siku nakutana na watu wanaorusha matusi hapa mtaani wananikimbilia wenyewe na kujisema ni flani, siku moja nilikuwa Fastjet akaja mtu akanisalimia kwa furaha sana na kujitambu;lisha kwamba yeye ni Yericko Nyerere wa JF hivi kuna mtu anajua kunitukana zaidi ya huyo jamaa, so ina maana moja tu kwamba tunaheshimiana na mimi sina tatizo na mtu cause haya maisha it is about making money sio umburulazzz

Le Mutuz

cc
Yericko Nyerere
 
Last edited by a moderator:
Sipati picha uwakilishi EAC sijui ingekuwaje..... Any way God is good all the time
😕😕
 
Wadau mtu kuelezea hisia zake ni tatizo??wekeni na wenu tuone sura zao
Mkuu si hivyo,tatizo ni kwamba ulipokuwa mtoto na ukasema nataka mma,taka shii,taka nyam tulikuelewa ila kwa sasa ukisema maneno hayo hayo kwa matamshi yaleyale ya utotoni hatukuelewi!
 
- hahahahahahahaha unanivunja mbavu sana mimi ndio mwenyewe ukiona mwingine ujue feki yaani Le Mutuz Big show Le Baharia, umeishiwa cha kuandika so tuliza boli huna life so utaisoma tu my life

Le Mutuz

ushajizeekea eti unakula bata,unapotezea watoto wa watu muda tu,zee zima lol,na siku nlikukuta umekuja pale uvccm wallah nakutoa na bakora mzee unapenda starehe km baba junior anayezini mpk amezeeka
 
Yule Mwingine tuliambiwa anaMasters , sasa huyu ndio anaenda kuchukua ? Halafu yule alikuwa Mnene huyu Miss 2011

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD]
IMG_0272.JPG

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Super Wey My bebez the Student of Masters of Law at Chuo, Dar and Miss Tanzania Second Runner 2011 le mukareezzz U know sasa baaasi U know I am down and humbled too U know!! hapa live bila chenga wala mkorogo U know the real deal live and very clear U know!! - Le Big Show
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Le Mutuz with Miss. Jackie at the bash last night Mkururgenzi wa Ultimate Security Inc. she is from South Africa na my super best friend!!
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Super Bite "Mama na ICD" U know the Wife of my Super Friend the young Super Bilionea Chicago Matelefone live at the bash last night U know!!
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Mkururgenzi Mkuu wa Jambo Leo Concepts and Rais wa Chama cha Waandishi wa Habari Tanzania Chairman Juma Pinto, live at the bash last night!!
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]The Young Super Bilionea Chicago Matelefone live at the Bash last night u know!!
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Super Star Actress and EFM Radio "Genge" Star Penny live at the Party last night live!!
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Super Star Bright Super Wey Sister live at the bash!!
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Le Big Show me myself and I
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Miss. Jackie Mkurugenzi wa Mkuu wa Ultimate Security Inc. live at the Dinner Party U know!!
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Super Star Actress & Model Hamisa Mobeto the number one model in bongo now live at the bash!!
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Super Bright!!
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]The Hilton Double Tree Big Boss Florenzo with South African Tycoon live at the bash!!
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom