William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
Si ndio maana tupo wote na wewe umbeaniii,nataka nikuchangie harusii ile ya uwanja wa taifa u know hhhhhaaaaa
- Nonsense twende MWanza kwenye Insta Party wacha kulia lia for nothing U know waoneee huruma wazazi wako kwanza kuzaa mtoto mwenye akili kama yako ya kuja JF na kuanza kushambulia watu asiowajua kwa majina ya bandia huoni ni hasara kubwa sana kwa wazazi wako halafu who cares na your kwi kwizzz get life U know ungekuwa na life usingekuwa na huu muda U know hahahahahaha
Le Mutuz
- Yaaani kweli unauliza hilo? Chezeya Le Big Show wewe njoo uone balaa la kesho MWanza halafu Mbeya na Irirnga hahahaha
Le Mutuz
- Yaaani kweli unauliza hilo? Chezeya Le Big Show wewe njoo uone balaa la kesho MWanza halafu Mbeya na Irirnga hahahaha
Le Mutuz
Nakwambia pole yako
Umri wako sio wa kufanya mambo kama ya wanawake wa uswazini
Heri wangekubadilisha na mashudu wangelisha ngombe
Pole sana
Serious jifanyie tathmini upya
- hahahahahahaha kumbe ndivyo walivyokufanyia Mwanaume hahahahahaha umenimaliza mbavu U know sasa unataka kila Mwanaume afanyiwe kama wewe le mburulazzz si ulisema unaondoka umerudi? hahahahaha
Le Big Show
Hivi huoni aibu hao unaoshirikiana nao kwenye huo upuuzi ni watoto unaowazidi 30 years?
utakua lini we kubwa jinga?
Hahahahah
Narudia tena pole, tena pole sana
Heri wangekubadilisha na mashudu wakalisha ng'ombe angalau mzee wa watu angepata faida
Pole sana
Mzee lazima umpambe ili ajue jua bado halijazama kumbe tayari giza limeingia.
- Unasema ninapofanya Insta party na kupata pesa za kuwalipia Shule Watoto wangu USA ni utoto? For that ninahitaji kukua kweli? mweeheee hahahahahahaha le mburulazzzz
Le Mutuz
- hahahahahaha umemuona le mbebez lakini harusi yangu hamna mchango wewe utaaalikwa tu uje u enjoy mambo ya michango ni ya kizamani sana U know
Le Mutuz
- Brenda nenda pale Million Hair Saloon gharama on me waambie Le Mutuz kanituma nije my no 0717 618 997 umenifurahisha sana so wewe nenda poale wakutengeneze gharama on me baby U know
Le Mutuz
Ungekua na nia ya kusomesha watoto usingekimbia majukumu USA....
Badilika aisee unatutia aibu wanaume wenzio kwa jinsi unavyojiweka...
Na hiyo blog yako unaandikaga shombo tu utafikiri mtoto wa primary school...
50s unaishi Kama under 18!!!!
Haya mbebezi nasubiri kadi u know kutoka kwa supastaa le mutuz mzee wa mabebez bongo nzimaaa
Hahahahah nimekosa hiii ofa nipo mwanza..nakusubir kesho u know..
- Mhhhhhhh jamani sasa hiyo micifa imezidi mimi ni mdogo mdogo ila nabanana na hii life ya bongo mpaka mwisho U know lakini kadi utapata maana wewe nakuaminia kwa hizi za hapa uje useme le mabebezzzz U know
Le Mutuz
Nakuaminia le mutuz u know watakomajeee
- Powa ngoja niwahi Fastjet U know nisije nikaachwa U know, powa wewe subiria no worry lakini umemuona le mbebezzz u know
Le Mutuz
Mmmmh ana mineno huyu mkareeeez Le baharia, sijui hata anapoyatoa. Yani hakosi jibu kwa hoja yoyote ile