Le Mutuz amuonyesha baby wake

Status
Not open for further replies.
Baba jitahidi ukue.
Mambo unayifanya hayaendani na umri wako.

Embu angalia ndugu zako wengine.Mwangalie auntie Mwele, babu anajivunia kuwa nae.

Wasiomjua Mwele yeye ndio mkurugenzi wa NIMR.

Baba unatudhalilisha kwa mambo unayofanya.

- Sema unajidhalilisha wewe mimi nipo powa sana na I ma having fun na my life kwa sababu I make money na umaarufu zaidi na nipo sawa kabisa ndio maana hata unaweza kunisoma hapa, maisha yangu sijilinganishi na mtu ninaishi me as me badala ya ku deal na mimi unaleta majina yasiyohusika ndio maana ya umburulazzzz U know!!

Le Mutuz
 
Jitambue wewe!!Shule huna!Marekani ulikuwa unazugazuga tu nakuokoteza vivyeti uchwara!Leo ukiongea mtu yeyote anajua hakuna kitu hapo!Mimi nimemaliza ila jitambue!Ebu fanya tathimin kutizama wenzio wa umri wako!

- Jumamosi nimealikuwa na Chuo cha Waandishi wa Habari DSJ mbona hawakukualika wewe mwenye akili sana na unaheshimika sana na jamii le mburulazzz wewe nyamaza unazidi kuandika ujinga halafu unanichekesha sana hahahahahah eti vyeti vinaokotwa wewe mbona hujaenda na wewe kuviokota yaani unanichekesha sana U know! hahahahahahaha

Le Mutuz
 

Mtizame Dada ako ndo ukweli!Kamwe hajivunii kuwa na, wewe.
 
Mbona le mutuz anawaumiza sana jamani? Let the dude sijui kizee aishi maisha yake, this is a free state jamani, msimpangie aishi mtakavyo

- hahahahahahahah kizeee? Really unataka nikuonyeshe vizee hapa bongo hahahahahahahha, karibu sana sasa 6 pages tayari Le Mutuz Big Show

Le Mutuz

Le Mutuz
 
- hahahahahahahah kizeee? Really unataka nikuonyeshe vizee hapa bongo hahahahahahahha, karibu sana sasa 6 pages tayari Le Mutuz Big Show

Le Mutuz

Le Mutuz

Hahahahaha ngoja tukusaidie kujaza pages... Naona uko obsessed sana na idadi ya page humu, likes na comments instagram kule hahaha..
 
Hahahahaha ngoja tukusaidie kujaza pages... Naona uko obsessed sana na idadi ya page humu, likes na comments instagram kule hahaha..

- Ndio the rule of the game vinalipa, I mean obsessed jamani mimi tena nipo obsessed hilo umeniuonea U know mimi I am having fun na my life sijamuomba mtu hela wala hakuna anayenilipia maisha hapa sasa nashangaa mtu kulia lia as if ananilipia rent vipi jamani hahahahahahaha niwacheni nilale bana!!

Le Mutuz
 
Ila mi nakukubali sana Le Mutuz.. Hebu hiyo insta party ilete na Mtwara huku.. Nimeingia huu mji majuzi ila wazungu ni wa kumwaga na wala bata kama ww wapo wengi sana huku mkuu you know
 
Ila mi nakukubali sana Le Mutuz.. Hebu hiyo insta party ilete na Mtwara huku.. Nimeingia huu mji majuzi ila wazungu ni wa kumwaga na wala bata kama ww wapo wengi sana huku mkuu you know

- Powa tutatuma mtu kwanza kuja kufanya utafiti kwanza and then ndio tuje U know sasa hivi Mwanza kwanza, Mbeya, Irirnga, Dodoma and then Dar tena on the boxing day!!, unajua hapa watu wamezoea kutukana watu wasioweza kuja kujibu ndio maana ukiwajibu wana panic na kuanza kurusha matusi tena ya kizamani sana U know

Le Mutuz
 

Kindly nitafute mkishafikia uamuzi wa kuja kufanya hiyo kitu huku.. Nina sehemu yangu nafungua itakua poa kama nikiwa mshirika wako.. I will leave my number kwa PM yako.. Le Big Show you know hahaha
 
By w. J. Malecela

- wale ninawatumia hela mbona kuna watoto wa watu wengi tu kule ambao wazazi wao wapo hapa au kuna something i am missing here? Hahahahahahahah
le mutuz


By Madame B


are you invited???


- YEs Jumamosi hii nimealikwa kwenda kuwa mgeni wa heshima kwenye sherehe kubwa za Chuo cha Uandishi wa Habari DSJ U know!!
Le Mutuz

Huyu Jamaa ananifurahisha sana, hakosi majibu tena yenye logic kwa kazi yake kama Entertainer, there is something peculiar in him. Jamaa ni Entertainer wa nguvu, Ingawa kwa mazoea yetu ya kibongo ni tabu kukikubali. Heshima zinakuja kwa sababu unafanya kazi tulizo-zizoea au ambazo tumezoea kuziona.

Unapomaliza Harvard University wanatia moyo kwa kusema.... Harvard Student they don't find a job but they create a job.
 
Kindly nitafute mkishafikia uamuzi wa kuja kufanya hiyo kitu huku.. Nina sehemu yangu nafungua itakua poa kama nikiwa mshirika wako.. I will leave my number kwa PM yako.. Le Big Show you know hahaha

- Powa powa now you are talking business I love that halla 0717 618 997 anytime lets talk business U know!!

Le Mutuz
 

Mi namkubali sana huyu bwana... He is so positive, na anapiga pesa kwa ukomedi wake huo huo ambao wengine wanamwona kama kichaa...
 

- No ni tabia ya Wabongo kukataa huku wanakubali kwa matendo, mkuu kila siku nakutana na watu wanaorusha matusi hapa mtaani wananikimbilia wenyewe na kujisema ni flani, siku moja nilikuwa Fastjet akaja mtu akanisalimia kwa furaha sana na kujitambu;lisha kwamba yeye ni Yericko Nyerere wa JF hivi kuna mtu anajua kunitukana zaidi ya huyo jamaa, so ina maana moja tu kwamba tunaheshimiana na mimi sina tatizo na mtu cause haya maisha it is about making money sio umburulazzz

Le Mutuz
 
We mbaba unaumwa!Na mzee Jumanne keshazeeka hawezi tena kukusaidia ubadilike.Na Lowassa akiingia madarakani utakoma
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…