William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
Watoto wako anakutunzia nani?
- Wale ninawatumia hela mbona kuna watoto wa watu wengi tu kule ambao wazazi wao wapo hapa au kuna something I am missing here? hahahahahahahah
Le Mutuz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watoto wako anakutunzia nani?
- wale ninawatumia hela mbona kuna watoto wa watu wengi tu kule ambao wazazi wao wapo hapa au kuna something i am missing here? Hahahahahahahah
le mutuz
Baba jitahidi ukue.
Mambo unayifanya hayaendani na umri wako.
Embu angalia ndugu zako wengine.Mwangalie auntie Mwele, babu anajivunia kuwa nae.
Wasiomjua Mwele yeye ndio mkurugenzi wa NIMR.
Baba unatudhalilisha kwa mambo unayofanya.
Jitambue wewe!!Shule huna!Marekani ulikuwa unazugazuga tu nakuokoteza vivyeti uchwara!Leo ukiongea mtu yeyote anajua hakuna kitu hapo!Mimi nimemaliza ila jitambue!Ebu fanya tathimin kutizama wenzio wa umri wako!
are you invited???
- Sema unajidhalilisha wewe mimi nipo powa sana na I ma having fun na my life kwa sababu I make money na umaarufu zaidi na nipo sawa kabisa ndio maana hata unaweza kunisoma hapa, maisha yangu sijilinganishi na mtu ninaishi me as me badala ya ku deal na mimi unaleta majina yasiyohusika ndio maana ya umburulazzzz U know!!
Le Mutuz
Mtizame Dada ako ndo ukweli!Kamwe hajivunii kuwa na, wewe.
Mbona le mutuz anawaumiza sana jamani? Let the dude sijui kizee aishi maisha yake, this is a free state jamani, msimpangie aishi mtakavyo
- hahahahahahahah kizeee? Really unataka nikuonyeshe vizee hapa bongo hahahahahahahha, karibu sana sasa 6 pages tayari Le Mutuz Big Show
Le Mutuz
Le Mutuz
Hahahahaha ngoja tukusaidie kujaza pages... Naona uko obsessed sana na idadi ya page humu, likes na comments instagram kule hahaha..
Ila mi nakukubali sana Le Mutuz.. Hebu hiyo insta party ilete na Mtwara huku.. Nimeingia huu mji majuzi ila wazungu ni wa kumwaga na wala bata kama ww wapo wengi sana huku mkuu you know
- Powa tutatuma mtu kwanza kuja kufanya utafiti kwanza and then ndio tuje U know sasa hivi Mwanza kwanza, Mbeya, Irirnga, Dodoma and then Dar tena on the boxing day!!, unajua hapa watu wamezoea kutukana watu wasioweza kuja kujibu ndio maana ukiwajibu wana panic na kuanza kurusha matusi tena ya kizamani sana U know
Le Mutuz
- YEs Jumamosi hii nimealikwa kwenda kuwa mgeni wa heshima kwenye sherehe kubwa za Chuo cha Uandishi wa Habari DSJ U know!!
Le Mutuz
Kindly nitafute mkishafikia uamuzi wa kuja kufanya hiyo kitu huku.. Nina sehemu yangu nafungua itakua poa kama nikiwa mshirika wako.. I will leave my number kwa PM yako.. Le Big Show you know hahaha
By w. J. Malecela![]()
![]()
- wale ninawatumia hela mbona kuna watoto wa watu wengi tu kule ambao wazazi wao wapo hapa au kuna something i am missing here? Hahahahahahahah
le mutuz
By Madame B![]()
![]()
are you invited???
Huyu Jamaa ananifurahisha sana, hakosi majibu tena yenye logic kwa kazi yake kama Entertainer, there is something peculiar in him. Jamaa ni Entertainer wa nguvu, Ingawa kwa mazoea yetu ya kibongo ni tabu kukikubali. Heshima zinakuja kwa sababu unafanya kazi tulizo-zizoea au ambazo tumezoea kuziona.
Unapomaliza Harvard University wanasema.... Harvard University they don't find a job but they create a job.

We mbaba unaumwa!Na mzee Jumanne keshazeeka hawezi tena kukusaidia ubadilike.Na Lowassa akiingia madarakani utakoma- No ni tabia ya Wabongo kukataa huku wanakubali kwa matendo, mkuu kila siku nakutana na watu wanaorusha matusi hapa mtaani wananikimbilia wenyewe na kujisema ni flani, siku moja nilikuwa Fastjet akaja mtu akanisalimia kwa furaha sana na kujitambu;lisha kwamba yeye ni Yericko Nyerere wa JF hivi kuna mtu anajua kunitukana zaidi ya huyo jamaa, so ina maana moja tu kwamba tunaheshimiana na mimi sina tatizo na mtu cause haya maisha it is about making money sio umburulazzz
Le Mutuz