Le Mutuz amuonyesha baby wake

Status
Not open for further replies.
Hahhahahahha uknow am 20 ww vp?? Nahic utaki kukubaliana na matokeo kwamba umri umeendaa u know!!!!!!!

- Ok lets say wewe ni 20 so what nani unamlisha humu JF I mean ungesema mimi ni 20 ni Bilionea au Rais wa Tanzania ningekuelewa lakini 20 mpiga kelele JF kwa kutumia jina la bandia nini faida yako ya kuishi mkuu? hahahahaha yaani upo 20 kazi kufuatilia maisha ya wengine ukifika 60 itakuwaje mkuu? hahahahahahaha

Le Mutuz
 
- hii hata mimi inanivunja mbavu I mean mtoto wa kwanza wa Pinda tupo sawa sasa tena nikawa sawa na baba yake ni dalili za kushindwa mjadala hahahahaha mmezoea kutukana wasiojibu unaona mkijibiwa mnavyo panic, hgahahahahahaahahah

Le Mutuz

Where did I panick?????
 

Povu lote la nini ili? eti wao politicians me mfanyabiashara ptuuh.. wewe sio mwanasiasa tena siku izi si ndio? umeishia kupata jumuiya ya wazazi ujumbe, umeanza kushika adabu sasa naona.... we endesha blog tu size yako ni kina Mange sinta etc hao kina January utaishia kuwa mpambe wao la sivyo utapotezwa kama baba yako.
 

- hahahahahahahahah mimi nina vyeo vifuatavyo ndani ya CCM:_

1. Mjumbe Mkutano Mkuu wa Taifa CCM

2. Mjumbe Baraza Kuu la Wazazi/CCM Taifa

3. Mjumbe Baraza Kuuu UVCCM Taifa

- Mkuu nina blog, sasa hivi nipo Mbagala Project ya ICD I mean Bandari kavu bado in the process ya kufungua Radio na TV hao unaowataja wote ni marafiki zangu wa karibu sana tunaheshimiana, tunaalikana kila siku kwenye events aliye nje hapa ni wewe mkuu unatakiwa kujionea huruma maana umeishia kukaa pembeni kuangalia na kuyajadili maisha ya wengine wewe vipi huna life? hahahahahahaha

Le Big show
 
- Wewe hujioni kwamba umepanic badala ya kustick na mada anahangaika kama kuku anataka kutaga mayai, vipi wewe kazana kidogo ok!!

Le Mutuz

we mbabu naona umevurugwa..... na hivi unautafutaga umaarufu kwa nguvu......

kiachokufaya kuneneng'eka kutujibu ni nini si ungepiga kimya???????/
 
we mbabu naona umevurugwa..... na hivi unautafutaga umaarufu kwa nguvu......

kiachokufaya kuneneng'eka kutujibu ni nini si ungepiga kimya???????/

- Nanai alikuambia huwa ninanyamza kimya nakujibu ndio wenye akili wakisoma wanaona pumba na mchele upo wapi hahahahahaa natafuta umaarufu kwa nguvu nimekwambia nilizaliwa maarufu maana wakati nazaliwa baba yangu alikuwa Mkuu wa Wilaya enzi zile za mkoloni alikuwa maarufu sana so automatically na mimi nikawa maarufu U know hahahahahah nitawajibu tu mpaka muelewe U know!!

Le Mutuz
 

We mzee una mbwembwe.
 

Hee...na wewe upo UVCCM....

Ama kweli uzee mwisho Mikeseeeeeee!
 
- hahahahahaha umeanza kunielewa maana ulianza na matusi ya kima, wewe masikini wa Mungu unaweza kuita kima binadama mwingine sasa ndio umefanikiwa nini mkuu? hahahaha yaani mna panic mpaka mnaanaza kuita watu kima duh!!

Le Mutuz

Wazee wenzako sasa hivi wanacheza na wajukuu.
 

Khaaaaaa....yani umezaliwa enzi ya mkoloni halafu mpaka leo bado upo UVCCM....Wallahi jumatatu narudisha hii kadi ya UVCCM....me bado mtoto.....heeeeee!
 
Khaaaaaa....yani umezaliwa enzi ya mkoloni halafu mpaka leo bado upo UVCCM....Wallahi jumatatu narudisha hii kadi ya UVCCM....me bado mtoto.....heeeeee!

- hahahahahahaha kumbe humu tuna watoto wachanga wananyonya maziwa rudisha kadi mkuu kesho U know hahahaha, ila kumbuka sasa ni page ya 9 ikifika 10 basi

Le Mutuz
 
- hahahahahahaha kumbe humu tuna watoto wachanga wananyonya maziwa rudisha kadi mkuu kesho U know hahahaha, ila kumbuka sasa ni page ya 9 ikifika 10 basi

Le Mutuz

Broo unajiita mdogo na tena hujakulia kwene shida ila sura broo inaonesha umri ushafika saa 6 usiku broo... sura inaonesha umekula chumvi... au ndo mzee kijana??!!
 
- wakati nazaliwa baba yangu alikuwa Mkuu wa Wilaya enzi zile za mkoloni alikuwa maarufu sana so automatically na mimi nikawa maarufu U know hahahahahah nitawajibu tu mpaka muelewe U know!!

Le Mutuz

We pepe kale una umri kuliko Tanzania,umezaliwa kabla ya Tanzania.... ila kazi kupiga picha na wajukuu zako wanakuita babu jinga ...ndio maana mkeo alikufykuza kama paka...nawaonea huruma wanao.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…