William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
Hahhahahahha uknow am 20 ww vp?? Nahic utaki kukubaliana na matokeo kwamba umri umeendaa u know!!!!!!!
- Ok lets say wewe ni 20 so what nani unamlisha humu JF I mean ungesema mimi ni 20 ni Bilionea au Rais wa Tanzania ningekuelewa lakini 20 mpiga kelele JF kwa kutumia jina la bandia nini faida yako ya kuishi mkuu? hahahahaha yaani upo 20 kazi kufuatilia maisha ya wengine ukifika 60 itakuwaje mkuu? hahahahahahaha
Le Mutuz