Le Mutuz amuonyesha baby wake

Le Mutuz amuonyesha baby wake

Status
Not open for further replies.
Khaaaaaa....yani umezaliwa enzi ya mkoloni halafu mpaka leo bado upo UVCCM....Wallahi jumatatu narudisha hii kadi ya UVCCM....me bado mtoto.....heeeeee!

Hahahahahahahaha...uwiiiiii hiii post yako imeniua leo...karudishe tu we bado mtoto
 
Kilitoka wapi na mtandao gn? Insta ama? Toa info

Insta huko kasutwa na wajukuu zake...huko kwa dougiemasta15 na mkali wake ni flora Lyimo mbuta nanga so kesho yake huyu mbabu mkalez akaamkia kwa polis kushtaki:sly::sly:
 
ukiwa na umri wa huyu jamaa halafu hujao ni tatizo sana...pia kujump stage ya makuzi ni mbaya sana ,,sasa jama vitu ambavyo alipaswa kufanya akiwa 30's anafanya akiwa late 60's

Tobaaa
 
Halafu huyo mbebz mkarez mbona sura imekomaaa au macho yangu

Hahahahahah brenda18 una utani na baby wa le baharia. Ngoja mmewe aje hapa atakwambia u know me siangalii uzuri, naangalia akili inachaji as my super babes yupo school of law now, bongo tambararezzzzz so majuu mjipangeeeez hahahhahaha
 
Last edited by a moderator:
Hahaha mzee wa kupiga picha na magari ya Davis Mosha....le mbululaz
 
Le Mutuz nilithibitishiwa ni shoga jamani ndo maana Hawezi oa. Naomba ajitangaze tu sababu Siku hizi hatuwanyanyapai tena. Le Mutuz are u not gay?

- kUMBE WEWE ni shoga hahahahaha mbona unajisema mwenyewe I mean unaijua njia ya mashoga na wewe hujapitia hahahahaha so umeamua kujitangaza mwenyewe hahahahaha

- Kesho Insta Party Mwanza live!!

Le Mutuz
 
Hahahahahah brenda18 una utani na baby wa le baharia. Ngoja mmewe aje hapa atakwambia u know me siangalii uzuri, naangalia akili inachaji as my super babes yupo school of law now, bongo tambararezzzzz so majuu mjipangeeeez hahahhahaha

Hhhaaa hapo tu hua nachokaa aiseer
 
Last edited by a moderator:
usikute mzee wake huwa anajutia usiku aliompata huyu bilionea bora hata angetumia ndom maana maana akili zake kipindi anafunga pampaz na leo hazina tofauti
this is very trueeee! Couldnt have added anything more!! He is just sooooo stupid!~ i have never seen a stupid guy like him ever since! Puuuuuuuuuu
 
- Meaning kwamba una miaka 60 so unajua inavyokuwa u know hahahahahahah

Le Mutuz
what have u gained?? kwa kumuweka MATIKIBOKOYAO ndani????? r u not ashamed of urself??? never thought kama una shallow brain to this extent jamani???? yale ni mambo ya kike tena full utoto!! a disgarace to all men in this world!
 
Hahahahahah brenda18 una utani na baby wa le baharia. Ngoja mmewe aje hapa atakwambia u know me siangalii uzuri, naangalia akili inachaji as my super babes yupo school of law now, bongo tambararezzzzz so majuu mjipangeeeez hahahhahaha

Hahahahah...uwiiiiii na hivi sijasoma mie ntasemaje sasa..ngoja nipige kimya
 
Last edited by a moderator:
what have u gained?? kwa kumuweka MATIKIBOKOYAO ndani????? r u not ashamed of urself??? never thought kama una shallow brain to this extent jamani???? yale ni mambo ya kike tena full utoto!! a disgarace to all men in this world!

Alafu cha kushangaza kamuacha muhusika kakimbilia kwa mtu asiye na kosa...mbona dougiemasta15 kamwacha
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom