Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
- Powa ngoja niwahi Fastjet U know nisije nikaachwa U know, powa wewe subiria no worry lakini umemuona le mbebezzz u know
Le Mutuz
What it do ma nigga...u good?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
- Powa ngoja niwahi Fastjet U know nisije nikaachwa U know, powa wewe subiria no worry lakini umemuona le mbebezzz u know
Le Mutuz
- Le Big Show ni kwenda kwa mbele tu U know so lets go Mwanza
Le Mutuz
Awaangalie wenzie kina ridhiwani alowazidi umri lakini wanamaisha standard ye rika la kina pinda anaendekeza utoto
- hahahahahahaa le mburulazzzz umemuona le mbebezz u know le mwanyazzz U know hahahahahahah...le mbebezz with Super brain U know
Le Mutuz
- hahahaha umesikia dada yako kaolewa kwa siri na mume wa mtu hahahahaha tena kawa mke wa pili hahahaha, unasema wale wote wanaotayarisha event za entertainments ni lazima wana 18 years of age? hahahahahaha tatizo lako elimu ndigi sana una hasira na mapovu ya kumuacha dada yako lakini unajua kabisa kwamba aliyataka mwenyewe U know hahahahahaha tuliza boli kuwale Watoto sio lazima uwe nao unatuma pesa tu sabuni ya roho U know!!
Le Big Show
Nimemuona mkaleeee sanaa mbebeziii unajua kuchagua u know..
Ashasepa huyoo zaman nilikua simjui vizuri ila toka nimjue lemutuz sina tatizo nae ngoja niendelee kusubiri kadi ya mwaliko miee
Uno
We kima hadhi ya kuwa na Dada yangu huna hata kidogo na Kama angekua na ukata huo Wa mume heri anunue dildo kuliko kuwa na shombo Kama wewe...
Unasema nina elimu ndogo?
Nina...
LLB. ( Hons) University of Dar es salaaam
MA. International and intercultural communications..
University of Denver Colorado USA
Postgraduate ya international relations...Chuo cha diplomasia...
Hii kwako ni elimu ndogo?
Hahahahah...uwiiiiii na hivi sijasoma mie ntasemaje sasa..ngoja nipige kimya
Hahhhahahhahaha ndo tunyamaze tu coz lazima atatuchamba hatuna masters wala degree 3 kama yeye. The babez mkareeeez got super brain u know, so tujipangezzzz
Le Mutuz is cool peoples. He's ma nigga for real.
Me n him go waay baack.
Hahahahahahah
Aiseeee anacho nifurahisha baharia yeye ni mvumilivu Sana pengine kuliko member yeyote humu! Huwa hajali kabisa
Binamu hili povu hili mi nguo zitatakata kabisaaa nikifuliaa,unamchukulia sirias lemutuz oooohhhhh c'mon
Le mutuz ban anaisikiaga kwetu tuu
Ashasepa huyoo zaman nilikua simjui vizuri ila toka nimjue lemutuz sina tatizo nae ngoja niendelee kusubiri kadi ya mwaliko miee
- Ndio the rule of the game vinalipa, I mean obsessed jamani mimi tena nipo obsessed hilo umeniuonea U know mimi I am having fun na my life sijamuomba mtu hela wala hakuna anayenilipia maisha hapa sasa nashangaa mtu kulia lia as if ananilipia rent vipi jamani hahahahahahaha niwacheni nilale bana!!
Le Mutuz
Le mutuz ban anaisikiaga kwetu tuu
Le mutuz hakosi jibu la swali lolote umbandikalo na mwisho wa siku mnaachana kiroho safi hakuna makunyanzi usoni wala sura ya ndimu.
Ha ha ha nimeona ulivyoparamiwa na yule Malaya..
Teh teh teh zile nyundo kubwa ulizopiga sijui Kama aliamka aisee