Le Mutuz amuopoa Zari?

Le Mutuz amuopoa Zari?

- Kubali wangu wewe sio Celebrity na hata ukiandikwa hapa hakuna wa kukusoma, nenda humu uone zipo thread zangu ngapi wacha kelele za mlango, Zari huwezi kumsogelea maana wewe sio Celebrity sasa unalia nini? Mimi sio Mungu aliyekuumba huna talent hata moja kudadeki mnajaza tu Dunia yaani hata ukifa leo hakuna wa kukukumbuka ndio maana utaishia kulia lia tu hapa sisi tutaendelea kuandika historia mtuwangu kelele zako za ml;ango ni bure tupu ok!!

Le Big Show

kwa mfano wewe ukifa watu watakukumbuka kwa kipi.??
 
atakumbukwa kama mtoto wa waziri mstaafu mkuu vip wewe utakumbukwa kwa jambo gani?

Acha Umbwiga wewe zezeta, atakumbukwa kama mtoto wa waziri mstaafu, unafikiri watu wanakumbukwaga kibwebwege tu, kisa alikua mtoto wa waziri, kuwa kwake mtoto wa waziri sio sababu, kafanya nini adi tumkumbuke, washakufa watoto wa wakubwa wangapi na watu awawafahamu, Ben Kinyaiya Mkubwa, Punguani.
 
- Kubali wangu wewe sio Celebrity na hata ukiandikwa hapa hakuna wa kukusoma, nenda humu uone zipo thread zangu ngapi wacha kelele za mlango, Zari huwezi kumsogelea maana wewe sio Celebrity sasa unalia nini? Mimi sio Mungu aliyekuumba huna talent hata moja kudadeki mnajaza tu Dunia yaani hata ukifa leo hakuna wa kukukumbuka ndio maana utaishia kulia lia tu hapa sisi tutaendelea kuandika historia mtuwangu kelele zako za ml;ango ni bure tupu ok!!

Le Big Show

Unajua mkuu mara nyingi sikuelewi kama unafikiri kwa kutumia ubongo au hile .....maelezo yako unategemea umaaarufu wa baba yako ndio wako....ukikuta mtu wa type yako mara nyingi ni majanga kwenye familia sipati picha kwa akili zako za mtoto mchanga ungekuwa mtoto wa bush au obama sijui ingekuwa vipi? Mwili kubwa akili ndogo aiseeee
 
Acha Umbwiga wewe zezeta, atakumbukwa kama mtoto wa waziri mstaafu, unafikiri watu wanakumbukwaga kibwebwege tu, kisa alikua mtoto wa waziri, kuwa kwake mtoto wa waziri sio sababu, kafanya nini adi tumkumbuke, washakufa watoto wa wakubwa wangapi na watu awawafahamu, Ben Kinyaiya Mkubwa, Punguani.

Hilo Jamaa la Le mutuz mabwege kweli mkuu acha kupoteza muda na wazuzu wanaotumia umaarufu wa baba zao mambwiga awa aiseeeeses
 
Mambo yanayofanywa na baadhi yetu nchi hii yanaonesha ujinga wetu; hiyo Bwana amekuwa billionare lini na kwa biashara gani? Kichekesho cha wiki hiki!
 
Unajua mkuu mara nyingi sikuelewi kama unafikiri kwa kutumia ubongo au hile .....maelezo yako unategemea umaaarufu wa baba yako ndio wako....ukikuta mtu wa type yako mara nyingi ni majanga kwenye familia sipati picha kwa akili zako za mtoto mchanga ungekuwa mtoto wa bush au obama sijui ingekuwa vipi? Mwili kubwa akili ndogo aiseeee

Jamani kulikoni mnatoleana povu kwa mambo yasokua na maana tatizo le mutuz au zari
 
- I am le Big show big celebrity ndio maana humu kuna thread nyingi sana za kunihusu na wewe kuja kuchangia coz I am a big star hiyo tu inatosha, I was divorced 3 years ago so I am single and having fun with my life, okeeeee!! ha! ha!

Le Big Show

Kaka are you single or engaged? Yule mchumba ambaye na kikao cha kwanza kilikaa tayari harusi lini? I read it in your blog ambayo naitembelea mara kwa mara
 
na mimi muanze kuniita le billionaire matola maana kila mwenye million 5 benki ni billionaire.

MI Nakukatalia jamaa namfahamu kama hujui familia anayotoka mpaka asimiliki mabilion utakesha.....jamaa yupo njema sana huyo ndo WILLY MALECELA!!
 
Hili jamaa litakuwa bado linavaa Pampers! Mama yako kule Maporomoko/Mwaka Tunduma anateseka sana wewe Mbulula unajidai kupiga picha na Ma-celeb!!!
 
Hahahaaaa billionea anaye tembelea Noah, mwenye ndoto ya kumiliki Range Rover,ndoto ambayo hata hata asiye na hela ya kula anayo, Phd kama huitumii sawa sawa ni kazi bure ,unakuwa kama umeachiwa kutoka Magereza bwana,
Kama blog nowdays kila mtu anazo bana hiyo yako ungebadili na jina isiwe ya wananchi napendekeza iitwe Life of lemutuz in bongo tutakuelewa na utakuwa umeitumia Phd yk vizuri.
Ok billionea wa picha???
 
- Wewe huna FACTS waulize wanaonijua nimeanza kwenda majuu nikiwa 15, nimezunguka 90% ya dunia mabebz nimeanza nao loong time ago wewe hujaja mjini na mwenge le mburulazzz sema huna access ndio maana unalia lia so kaa pembeni utaisoma tu!!

Le Mutuz
Nakujua sana tokea enzi zile unaweka KALIKITI KICHWANI!
 
MI Nakukatalia jamaa namfahamu kama hujui familia anayotoka mpaka asimiliki mabilion utakesha.....jamaa yupo njema sana huyo ndo WILLY MALECELA!!

Sawa Sinta umeeleweka
 
- Sasa umeona hii thread imeingia watu wangapi so far si wanakuja kuona habari za Celebrity Le Mutuz Big Show, sio wewe eti laki pesa le mburulazzzz!!

Le Mutuz

Watu wanakuja kukuchora ww pimbi la azizi! Celebrity wa kutumia jina la baba Pimbi weeeh
 
- Wewe utabakia kelele za mlango watu ndani tunalala, wewe sio Celebirty kama mimi na wala hakuna anyekujua halafu hapa unaingia kwa jina fake unaogopa ni muoga muoga sasa utawaweza vipi kina Zari eti linataja kina Oprah, mimi angalau nimewahi kuishi naye nchi moja wewe je, le mburulazzz tuliza boli zubiri picha za the next party Zari anakuja tena next month le mburulazzz kama wewe mtajibeba tu na utaisoma hapa mpaka ufe le mburulazzz!! ha! ha! ha!

Le Mutuz

Vipi ww mburula mungu wako ZARI alikuja kwenye instagram party au uliambulia watoto wa mbwa wenzako....
 
Back
Top Bottom