Cvez JF-Expert Member Joined May 19, 2018 Posts 4,405 Reaction score 13,411 Mar 1, 2022 #161 Ruwamangi said: Ah ! ah! Ah!ah ah shida ya Le Mutuz anapenda maisha ya kuigiza mno Click to expand... Hahahah bora angesema daktari yeyote ila Prof Janab ndio his personal doctor!!!. Anatuchukuliaje huyu jamaa?
Ruwamangi said: Ah ! ah! Ah!ah ah shida ya Le Mutuz anapenda maisha ya kuigiza mno Click to expand... Hahahah bora angesema daktari yeyote ila Prof Janab ndio his personal doctor!!!. Anatuchukuliaje huyu jamaa?
blance86 JF-Expert Member Joined Aug 31, 2016 Posts 2,138 Reaction score 5,632 Mar 1, 2022 #162 Cvez said: Hahahah bora angesema daktari yeyote ila Prof Janab ndio his personal doctor!!!. Anatuchukuliaje huyu jamaa? Click to expand... Mkuu ni kweli ndio daktari wake wiki moja kabla ya msiba alikuwa amelazwa pale.
Cvez said: Hahahah bora angesema daktari yeyote ila Prof Janab ndio his personal doctor!!!. Anatuchukuliaje huyu jamaa? Click to expand... Mkuu ni kweli ndio daktari wake wiki moja kabla ya msiba alikuwa amelazwa pale.
Cvez JF-Expert Member Joined May 19, 2018 Posts 4,405 Reaction score 13,411 Mar 1, 2022 #163 blance86 said: Mkuu ni kweli ndio daktari wake wiki moja kabla ya msiba alikuwa amelazwa pale. Click to expand... Sawa Mungu amponye
blance86 said: Mkuu ni kweli ndio daktari wake wiki moja kabla ya msiba alikuwa amelazwa pale. Click to expand... Sawa Mungu amponye
MtamaMchungu JF-Expert Member Joined Apr 10, 2011 Posts 8,974 Reaction score 12,662 Mar 1, 2022 #164 Le Mutuz kila siku anapiga picha yuko Gym ila kusafiri hawezi.... duh.
L lasix JF-Expert Member Joined Mar 13, 2011 Posts 485 Reaction score 303 Mar 2, 2022 #165 Cvez said: Hahahah bora angesema daktari yeyote ila Prof Janab ndio his personal doctor!!!. Anatuchukuliaje huyu jamaa? Click to expand... Sijui katuonaje!Hata km ndo anamtibu kweli ndi atudanganye alienda kuisihi familia ili asisafiri...hapa nimegoma kuamini
Cvez said: Hahahah bora angesema daktari yeyote ila Prof Janab ndio his personal doctor!!!. Anatuchukuliaje huyu jamaa? Click to expand... Sijui katuonaje!Hata km ndo anamtibu kweli ndi atudanganye alienda kuisihi familia ili asisafiri...hapa nimegoma kuamini
Mavipunda JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 7,072 Reaction score 7,891 Mar 2, 2022 #166 Yule mzee Lemutuz sio mzima kuna kitu hakipo sawa kichwani