Le mutuz awashukia wanaomlaumu kuhusu nyumba ya mama yake

Status
Not open for further replies.

siwezi kufanana na wewe baba yangu hajawahi kuwa pm
 
siwezi kufanana na wewe baba yangu hajawahi kuwa pm

-Then ungenyamaza tu maana page 12 nonsense tupu maneno mengi hewa tupu U know inasikitisha sana!, una tatizo na nyumba ya mama yangu weka ya mama yako kwanza ndio uanze kulia lia au unasemaje?

Le Mutuz
 
Mama wa watu kachoka na kanga yake ya Bujumbura, sura haina hata siha njema ilhali mwanae anakariri yeye ni diaspora anaemake money online while amekaa na pia ni celebrity...my ass!

Hudumia mama bhaaana! Unakuta hata baba hakumjali wako ana ofisi mama akategemea mwanae atamjali mwanae nae "tia maji tia maji!"

Blalifuli!
 
\

- Ungeweka ya mama yako kwanza ingekuwa Super sana maana una maneno mengi hewa tupu hahahahahaah unafikiri mchezo kumjengea mama nyumba kwa mjinga kama wewe hahahahahaha

Le Mutuz

Kaka mbna hilo n banda l kufugia kuku huwezi sema maza anaishi kwenye nyumba yani dirisha la nyumba linafika kwenye goti halafu unajisifu maza ana nyumba,maza wko anaishi kwenye banda kelele zote unarepair nyumba gani hpo sasa au unaziba mashimo y panya sakafuni.piga picha y nyumba frontview tuone ya marehemu bi kidude ina afadhali
 
Just saw an old man with a t-shirt written on.
"Things get better with age. If that's a reality, then Lemutuz must be approaching magnificent."

Hahahahha u made my day dude
He is approaching infinity sio?
 

- Ulisema kuanzia leo umenidharau sasa tena unaandika matusi, ishu ndogo ya kuleta picha ya nyumba ya mama yako hahahahahahahahahha Mama yangu is fine tatizo ni mama yako mkuu yupo sawa? hahahahaha

Le Mutuz
 

- Sawa sawa haya maneno yangekuwa super kama ungeweka nyumba ya mama yako kwanza OTHERWISE YANAKUWA NI HEWA TUPU unafikiri ni mchezo kujengea nyumba mama hahaha ni rahisi kualumu wenghine tu weka hapa ya mama yako tuone kama kweli ipo? hahahahahahaa

Le Mutuz
 
- Ule ni uwanja wa biashara zangu kubwa sio ujinga ujinga ukiandika ujinga nakuondoa umeona sasa unajuta maana una miss my swaggazz mimi sikujui wala sijaku follow wewe ndio unafollow kila mahali ina maana mimi big Celeb au unasemaje?

Le Mutuz

watch out big boy. kamba itakatikia unapopaamini halafu utakuwa digidigi
 
Tingatinga nae nahisi ana genes flani hasi kashare na mwanae,ilikuaje akashindwa kumjengea x wake nyumba nzuri ili atleast kutochafua taswira nzima ya familia yake?
Binafsi hiyo nyumba imenifanya nimuwaze mzee zaidi kuliko hili li zao lake.
 

dah! is it possible? mama yangu ni malkia aisee. au ni mama wa hiyari huyo?
 
Siku zote nilikuwa nadhani huyu punguani ana akili timamu ila anajichetua kufuraisha genge....ila leo nimepruv rasmi huyu punguani hana akili timamu mbaya zaidi hajijui kama hazimtoshi kichwani.....sio kosa lake tumuurumie
 
Tingatinga nae nahisi ana genes flani hasi kashare na mwanae,ilikuaje akashindwa kumjengea x wake nyumba nzuri ili atleast kutochafua taswira nzima ya familia yake?
Binafsi hiyo nyumba imenifanya nimuwaze mzee zaidi kuliko hili li zao lake.

Nasikia mzee wake alipigwa laana na Nyerere ndio inatesa hadi wanae.....Malecela na mwanae wametofautiana kidogo sana .
 

Nadhan kuna mengi yatafuata hili ni mwanzo tu
 

JF ni kiboko,

Hii picha imefikaje hapa???
 
- Ushamba ni kulilia nyumba ya mama wa mwingine wakati mama yako hana, maana angekuwa nayo ungeishaiweka hapa hahahahahaha just shut the f up!!

Le Mutuz

Just to confirme (again), Le Mutuz is retarded!!
 
Pole Le Mutuz Duuh wamekukaba sana hawa jamaa.

By the way Tunduma kuna hotel nzuri kuliko GR inaitwa SILVER STONE ipo nyuma ya Halmashauri ya mji mdogo Tunduma.
 
Mmmh Tunduma kuna nyumba za hatari kama mtu ana residential house inadhamini mkopo wa mil 600 u can imagine.
Si kweli hakuna nyumba level ya masaki au Mbezii.
 
Am no doctor but something is seriously off.

He shouldn't be here or anywhere postulating about his mother.

Not at his age at least.
NI kweli, mimi nilikua nazungumzia the way anavyoongea, yeye anataka ligi ya vitoto vya 12, ati onyesha picha ya nyumba ya mama!! na nimemweleza iko wapi, kama ana akili atakua ameshajua

He seriously need some medical attention
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…