William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
Baaabuuu punguza u zombie, tulia ukweli ukuingie vizuri ..... mawe yote hayo bado u mzima tu!!!! Kama nyumba anayo ishi mamako ww uwezi fikia!!! Ni nyumba ya aina gani iyo?????? Mashauzi meeengi uku kumbe huna lolote .....sooote tuweke nyumba za wazazi wetu patatosha kweli hapaaa!!! Uo ukuta wenyewe hauna hata hadhi ya banda la mamangu la kuku ....mmmmfyuuuu.
- Well safari ya kurudi imeanza nipo hewani U know on a Fastjet Airbus U know unasema unaleta picha ya nyumba ya mama yako au hamna mkuu sijakuelewa soon nitakuwa bongo U know!!




Like · · Share