Le mutuz awashukia wanaomlaumu kuhusu nyumba ya mama yake

Status
Not open for further replies.

- Well safari ya kurudi imeanza nipo hewani U know on a Fastjet Airbus U know unasema unaleta picha ya nyumba ya mama yako au hamna mkuu sijakuelewa soon nitakuwa bongo U know!!














Like · · Share
 
Huyu jamaa kumbe anasomaga comments. Nilikoment siku moja kwenye mpicha wake kuhusu size ya mshati wake...na ndo ilikua mara ya mwisho kumuona insta.....kumbe alini block fastaaa..

Hahahaa mie nilijua hajali comments nikacomment kuhusu kitanda chake blocked hadi leo
 

- Well, my mother is great now ndio maana nipo kwenye ndege naruka kurudi bongo, one lesson nimejifunza ni kwamba amepona sio only kwa sababu ya madaktari bali my presence it made a big impact so nimejifunza from now on kuja kumuona mara kwa mara U know, My Dad hayupo huku yupo Arusha anasimamia amani ya wa Sudani na hahusiki na this thread, hahahahahahahaha mimi au wewe anayehitaji meditation Techinique hahahahahahahaa

Le Mutuz
 

Dada ametokea wapi tena?

Slow down huhitaji kuharakisha kujibu.Hapa JF hakuna anayemtakia mabaya mzazi wako. Ni vizuri kama anaendelea vizuri.safi kuona umejifunza, naamini hata hii mada kuna ulivyojifunza.

Kukaa kimya wakati mwengine ni vizuri kuliko kuropoka na kufikiria baada ya kuropoka. Hiki ndio cha kujifunza next time.
 
Umenena kama mtu mzima comrade. Ukimya ni busara ya hali ya juu sana.....
 

- Hahahahahaha bahati mbaya sana I am a media big so kunyamaza sio part of The King Of All Bongo Social Media Network, I make my money from this sio kwa kunyamaza ningekuwa wewe ningenyamaza cause ya kwako ni makubwa sana kulinganisha na yangu, maana mtu ambaye hajarudi bongo miaka toka ya Uhuru mpaka leo na hana mawasiliano na ndugu zake wala familia yake kabisa ni huzuni sana kuomuona ana comment kama unavyofanya ila naona inakupa relief flani hivi na matatizo yako maana daaamn man matatizo yako siwezi hata ku imagine unawezaje hata kulala usingizi sawa sawa duh!!

Le Mutuz
 
Umenena kama mtu mzima comrade. Ukimya ni busara ya hali ya juu sana.....

- Kaka sita kaa nikusahau jinsi siku ile Waziri Mkuu aliponionyesha ile single yako hahahahahahahaha sasa vipi mbona hajafukuzwa kazi mpaka leo kama uluvyosema mlivyoamua kwenye kikao chenu Ikulu, au Rais hajatyekeleza amri yako mpaka leo? hahahahahahahaha

Le Mutuz
 
Jamani wenye pumzi ya kujibishana na huyu chizi fresh endeleeni.

mie nimeshindwa.

yani vitu anavyoongea kama radio iliyokwisha betri.

No coherence. SMH
 
Kwa umri wako kuwa bilionea ni maajabu ya dunia. .kuna umri ukigonga kama hujafanikisha ndoto zako tegemea miujiza!....kuna mtu anatuletea picha za nyumba hiyo ya bi mkubwa wako upande wa ndani tuone na maeneo ya chooni..

Mkuu anaweza kuwa bilionea mda wowote c unajua kuna mijengo mzee wke anayo halafu jamaa ndio msimamizi wa mirathi hko mbeleni
 
Jamani wenye pumzi ya kujibishana na huyu chizi fresh endeleeni.

mie nimeshindwa.

yani vitu anavyoongea kama radio iliyokwisha betri.

No coherence. SMH

- hahahahahahahahaha salam zao!!, yaaani msomi kama wewe unayeandika vitabu kila siku jinsi ya Mwalimu alivyo Mungu leo unakuja hapa kubishana na chizi tena fresh? hahahahahahahahhahaa kweli this is wasap!!


Le Mutuz
 

Nami nimejifunza kitu jamani kutoka kwa Le Mutuz, tusijisahau kuwaangalia wazazi watu tusije kuwa kama Le Mutuz, at the age of 50+ ndo mtu akili inafunguka na kujua umuhimu wa kuwa anatembelea wazazi mara kwa mara na kuspend nao time, pamoja na kuangalia mahitaji yao. Tujifunze jamani, la sivyo leo tunamcheka Le Mutuz, 20 years ahead itakuwa sisi, tusichelewe kujifunza kama huyu njemba.Asante Le Mutuz kwa kuwa mfano wa kipi HUTAKIWI KUWA.
 
Hili William ----- kweli....ur appearance is similar with ur IQ...!!!

JINGA JINGA SANA....but wagogo wengi ndio walivyo...very silly...!!!
 
this guy the so called William ana matatizo Fulani ya kiakili.sio bure.mambo anayoyafanya yanatatiza
 
Hili William ----- kweli....ur appearance is similar with ur IQ...!!!

JINGA JINGA SANA....but wagogo wengi ndio walivyo...very silly...!!!

hahaha umenikumbusha kitu kuhusu ombaomba wagogo.hata ukiwa unasafir Kwa barabara ukifika maeneo yao kule bahi na manyoni utakuta wamejipanga pembeni mwa barabara begging
 

Na kuepuka laana ya wazazi sana sana. Hakuna laana mbaya jama ya mama, kwaiyo tunayoona kwa huyu jamaa yetu ni laana kubwa sana
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…