Le mutuz awashukia wanaomlaumu kuhusu nyumba ya mama yake

Status
Not open for further replies.
Big up le Mutuz. Watu wanadai kukerwa na comments za le mutual lakini hawaachi kuchangia kila mabandiko yake yanapowekwa JF.
 

Namkumbuka Solo Thang aliposema MTOTO SIYO RIDHKI
 

It seems Mama yako bado kijana anaweza jitaftia kula bata BIG WILLY
 
- Yeah The King of All Bongo Social MEdia Network live at downtown Mbeya U know came here on Fastjet Airbus U know hayo mbona husemi mkuu U know hahahahahahaha staying at 5 star Hotel GR U know me I love it!!

Le Mutuz

Duh hata Fastjet kwako ni big deal?
 







- Jamani samahani sana nilikuwa nimeitwa Cocacola kupokea zawadi ya kopo lenye jina langu ambalo litaanza kuuzwa madukani hivi karibuni ndio maana sikuwepo U know!!

Le Mutuz

Kwan we jina lako ni Lemutuz?it's ok then coz hata Baba yako aliwahi kuitwa Jumanne (J4)
 
Hii nchi hovyo kabisa,huyu bahati mbaya babake alikuwa kiongozi enzi ambazo haikuwa rahisi kumpa uongozi mwanao kisa wewe ni kiongozi.Ingekuwa ni awamu hii ya nne tusingeshangaa huyu na akili zake hizi kuwa mbunge na hata waziri kabisa.
 
- Ungeanza na picha ya mama yako kwanza ndio udai za wengine mburulazzz wewe!!

Le Mutuz

Ha ha haa ha ukiona hivi kwisha habari. Nimejifunza kwamba mitandao ya kijamii inaweza kukuumbua
Anytime! Mpaka dk hii le mutuz ameshi.dwa kuweka picha ya nyumba ya mama yake hapa zaidi ya kujibanza upenuni mwa nyumba yake na kujiphotoa kipande kidogo!!
Huyo ndio king social media!!!
 
mwacheni le mutuzi wetu.......letamkoziiiiiii u know
 
- Lakini ukapoteza muda wako wote kunitafuta ili nijiunge na kundi lako la Lowassa mtu asiye na akili sawa sawa? hahahahahahahahahah huwa unanifurahisha sana!!

Le Mutuz


Wewe mtu unazidi kuthibitisha usivyo na akili...mimi na lowassa wapi na wapi?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…