Hakikwanza
JF-Expert Member
- Dec 11, 2010
- 4,035
- 1,005
Wanakuonea wivu kupiga picha na mabebz wakareee na kula bataz za ukweliii ,
Ikifika usiku Mama Le mutuz Analala hapa..U know
LE Mutuz hapa......
- Nilitegemea nikija hapa nitakuta watu wameweka nyumba za mama zao kuonyesha how serious they are, badala yake ni kelelel tu za mlango weka nyumba ya mama yako hapa tuone hahahahahahaa kama haikuwa huzuni hapa hahahahaha
Le Mutuz
Jinga sana hili jamaa .Hili lijamaa ni litoto kabisa na nina shaka na degree zake iaonekana za kununuliwa......
nyumba yenyewe hi7 naona hapo katafuta upande mzuri kabisaa
Mbona ipo sawa tu
- Ok now hebu tumia akili just for once unaumiza misuli na mtu unayemuita haya majina sasa wewe unakuwa nani mkuu ndio mana nasema wewe huna akili kabisa masikini wa Mungu na hujitambui pole sana mimi sio size yako kijana mdogo 3 Degree sio mchezo nenda ujipange tena!!
Le Mutuz
Hili lijamaa ni litoto kabisa na nina shaka na degree zake iaonekana za kununuliwa......
I see so simply bcause nyumba za hapo zina low standard ndo ya mama ako iwe hovyo?? Shame on U, so wakituma watu picha za nyumba za mama zao zikawa mbaya au zinazolingana na za mama ako itakufanya uone wat u did is enaf??? Daamn so nyumba za hapo zingekua za matope na nyasi na ww ungelinganisha nazo?? Maskin ya Mungu, then kabisaa proudly enaf unakaa unasema nyumba yake ni nzuri kwa standard za Tunduma?? Kama ulivyo nankiherehere cha kupiga picha kwenye nyumba za watu na ya baba ako basi ungeendeleza hiko kiherehere cha kupiga picha nyumba yote ya mama ako tuone kama haijawekewa miti ya kuisuport isidondoke, then unasema kuna udongo mwekundu, so ACADEMICALLY udongo mwekundu ndo umefanya nyumba iwe na ufa na iwe katika hali mbaya?? Kubali kuna makosa, rekebisha
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]Mwenzenu anatengeneza hela mnabaki kumtukana.Hiyo ni style yake ya maisha mradi havunji sheria za nchi.Mnavyofungua ma thread ndio anazidi kupaa.Jamaa ana hisa hadi humu jAMII FORUMS.
Kila la heri LE MUTUZ
Hivi Le mutuz una matatizo gani wew jitu zima. Jenga hata room na sebule uhame kwenu jitu zima ovyo kazi kupiga nyumba za watu picha my friends car u knw. Wanakuona punguani hujiongezi tu wew