Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
Ni aina ya makada wa ccm mlio nao
Sasa nimekubaliana na wale wanajitahidi kumrekebisha hapa jukwaani akina Matola, stata mzuka, Kim nana Muuza Sura na wengine endeleeni kumfunza
Huyu diaspora!!
Ni aina ya makada wa ccm mlio nao
Huyu jamaa kumbe anasomaga comments. Nilikoment siku moja kwenye mpicha wake kuhusu size ya mshati wake...na ndo ilikua mara ya mwisho kumuona insta.....kumbe alini block fastaaa..
Wiliam amewaponda kuhusu wale wanaoikaindia nyumba ya mama yake , huku akiwataka waonyeshe za mama zao!
Kama zina hadhi ya kama ya mama le mutuzzz
Usithubutu kumpa makavu insta, anakublock fastaaa...yule makavu yake mpe humu humu
cc: Ruttashobolwa huonekani u know
Wiliam amewaponda kuhusu wale wanaoikaindia nyumba ya mama yake , huku akiwataka waonyeshe za mama zao!
Kama zina hadhi ya kama ya mama le mutuzzz
Halafu Yuko UVCCM etiii....Kuanzia chipukizi wa TANU hadi Leo yuko umoja wa vijana, umri wake umeganda....
Ha ha ha...acha hizo basi
le mutuz ni mkuwa ki umri zaid ya anna kilangoDuuh.,kumbe Kilango sio mamake Lemutu?mi nlijua mamake ni Anna Kilango aisee
Wiliam amewaponda kuhusu wale wanaoikaindia nyumba ya mama yake , huku akiwataka waonyeshe za mama zao!
Kama zina hadhi ya kama ya mama le mutuzzz