Le mutuz awashukia wanaomlaumu kuhusu nyumba ya mama yake

Le mutuz awashukia wanaomlaumu kuhusu nyumba ya mama yake

Status
Not open for further replies.
....

....Ukiwa mjini magari ya kuazima ya bei mbaya ili kutunza statazi ila ikivuka Dar .....

BOMB+VICTIMS.jpg
 
Huyu jamaa kumbe anasomaga comments. Nilikoment siku moja kwenye mpicha wake kuhusu size ya mshati wake...na ndo ilikua mara ya mwisho kumuona insta.....kumbe alini block fastaaa..
 
Huyu jamaa kumbe anasomaga comments. Nilikoment siku moja kwenye mpicha wake kuhusu size ya mshati wake...na ndo ilikua mara ya mwisho kumuona insta.....kumbe alini block fastaaa..

Usithubutu kumpa makavu insta, anakublock fastaaa...yule makavu yake mpe humu humu

cc: Ruttashobolwa huonekani u know
 
Last edited by a moderator:
Usithubutu kumpa makavu insta, anakublock fastaaa...yule makavu yake mpe humu humu

cc: Ruttashobolwa huonekani u know

Yani ndo nilikua nimem follow baada ya kusikia story zake.. Alafu comment yangu ilikua ya 450.. Nkajua hasomagi...khoooo
 
Last edited by a moderator:
Hebu muacheni Le mburulaz apumzike kidogo
 
daaahhh, wanasema akikua ataacha sasa huyu sijui ataacha akiwa kikongwe?
 
Wiliam amewaponda kuhusu wale wanaoikaindia nyumba ya mama yake , huku akiwataka waonyeshe za mama zao!
Kama zina hadhi ya kama ya mama le mutuzzz

Waliotuzidi Kimaendeleo Wao Wanashindana Kwa Kufikiri, Ubunifu, Kufanya Kazi Kwa Kujituma Sisi Huku Tunashindana Kutambiana Nyumba Za Wazazi Wetu au Zetu Kwa Ufahari Wa Kijinga. Hakika Mtunzi Maarufu Wa Vitabu Ben Carson ktk Kitabu Chake Cha Think Big Hakukosea Kutofautisha IQ Za Matabaka Mbalimbali Ya Watu Na Sikushangaa Kuona Kwamba IQ Za Waafrika Ndizo Zilikuwa Zinaongoza Kwa Kuwa FINYU na BUTU. Na Tutabaki Hivi Hivi Hadi Kiama!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom