Le mutuz awashukia wanaomlaumu kuhusu nyumba ya mama yake

Status
Not open for further replies.
Davis Mosha sii amsaidie mama yake jamaa......bussiness partner mbona anamtupa mshkaji in bad times

- Kaka ulisema Waziri Mkuu anafukuzwa kazi mara moja umehudhuria kikao cha Ikulu vipi bado kutekjeleza yale majukumu mliyoamua kile kikao au wasap? hahahahahaha unajua nilikaa chini na Waziri Mkuu tukaanza kusoma ule uzi wako alikuwa anakufa na mbavu, kaka wewe ni le grande hapa JF nakuheshimu sana kwa sababu ya ule waraka wa siku ileeeeeeee hahahahaha

- Davis ni business patner soon tutakuwa hewani at TV and Radio hahahahahaha utaisoma na utaiskiliza tu huna choice labda uhame nchi u know hahahahaha

Le Mutuz
 

- Nilitegemea nikija hapa nitakuta watu wameweka nyumba za mama zao kuonyesha how serious they are, badala yake ni kelelel tu za mlango weka nyumba ya mama yako hapa tuone hahahahahahaa kama haikuwa huzuni hapa hahahahaha

Le Mutuz
 
mtu akishakua reatarded, maana yake ni metally retarded

- Page ya 6 sasa watu wazima na akili timamu mnajadili retarded hahahahahahaha sasa nani ni retarted hasa? Halafu nyumba ya mama yako mbona hujaweka ili uwe na haki ya kuongea kwa nguvu so ni kelele za mlango weka nyumba ya mama yako hapa kama hayakuwa majanga hahahahahaha

Le Mutuz
 




- Sure hapa Mbeya ninaishi downtown kama kawaida at this 5 star Hotel U know GR, so kama vipi nipo hapa U know and I love it!!

Le Mutuz

Mkuu hiyo ni 5* hotel?? Ahahaha mbona hata kaspace cha parking hakiwezi beba hata gari 20
 
Ahahahahahaha

- Yeah The King of All Bongo Social MEdia Network live at downtown Mbeya U know came here on Fastjet Airbus U know hayo mbona husemi mkuu U know hahahahahahaha staying at 5 star Hotel GR U know me I love it!!

Le Mutuz
 
Mkuu hiyo ni 5* hotel?? Ahahaha mbona hata kaspace cha parking hakiwezi beba hata gari 20

- Sasa kweli unasema na hii hotel ni mama yangu nayo hahahahaha, mimi najitayarisha Jumanne to fly back to bongo ili kuwahi kusaini mkataba mpya na Kampuni mpya ya kimarekani EAG ya kuitangazia matangazo kwa next Two years ndio what I am all about na bila kelele kama hizi nisingepata mikataba kama hiyo so keep it up this kielele it is always good for me, I mean muwakilishi wao yupo Dar nimempa hii link nimemmwambia imeanza leo asubuhi na mimi sipo huko lakini tayari page 6 na viewers 10,000 I love it na I am humbled sana JF

Le Mutuz
 
- Mtoto mchanga unayenyonya maziwa ya mama yako na upo JF weka nyumba ya mama yako hapa tuone wacha filimbi maneno mengi weka picha ya nyumba ya mama yako hapa hahahahahahahahah

Le Mutuz
ghafla nimekua mtoto mchanga??

Kumbuka, debe tupu haliachi kutika!!!

Just take it as an adult, umekengeuka
 
huo unaitwa ushamba... nyumba ya mama yangu iko vikawe st

Vipi yatosha hapo??
 
- Ni kawaida ya mwehu kuamini wengine wote ni wehu kama yeye, nyumba ya mama yako ipo wapi mkuu weka hapa hahahahahahah

Le Mutuz

Wew ni mtu mzima usiwe unakua mwili afu akili ya kupambana na mambo inakushinda.... Umeharibu sana kupiga picha hapo kwenu na kuweka insta ilhali unajua maisha yako unayoishi .... Kwenda nyumbani kwenyew kwa manati huna lolote na huwezi kupokea changamoto na kuzifanyia kazi zaid zaid mtu akikupa makavu eti unamblock... Jitu zima ovyooo
 
ghafla nimekua mtoto mchanga??

Kumbuka, debe tupu haliachi kutika!!!

Just take it as an adult, umekengeuka

- Si umesema wewe ni mtoto mchanga kila mtu hapa JF anakujua sasa nyumba ya mama yako iko wapi mkuu maana tukiona ndio utakuwa na haki ya kutukana nyumba za mama za wengine ambao huwalishi wala huwalipii maisha yao hahahahaa

Le Mutuz
 

Nilichouliza na majibu niliyopewa ni vitu viwili tofauti..
 

- Wewe ndio mjina mambo ya Isntagram hayahusu hapa na kama vipi weka nyumba ya mama yako kama huwezi nyamaza maana huna sense hata kidogo mtu mjinga ndiye anaweza kuleta mambo ya Isntagram huku pole sana kama mama yako hana nyumba mimi mama yangu anayo na umeiona picha yake sawa hahahaha

Le Mutuz
 
- Si umesema wewe ni mtoto mchanga kila mtu hapa JF anakujua sasa nyumba ya mama yako iko wapi mkuu maana tukiona ndio utakuwa na haki ya kutukana nyumba za mama za wengine ambao huwalishi wala huwalipii maisha yao hahahahaa

Le Mutuz
again,

umri mkubwa, analysis zero

Nimezungumzia lugha yako ya kitoto, if you have read my comment, i didnt say anything about the house, nimezungumzia utoto wako na lugha zako za kitinejaz

daym, ina maana huna hata lepe la akili ya kusoma niliyoandika??
 
Kama nihuyu jamaa ambaye yuko instagram majivuno mengi kuweka picha za wanawake na matajiri nakuwasifia kumbe mama choka mbaya zaidi kajisifu leo kuwa yeye anafedha anafikia kwenye hotel kumbe mammy wake hayuko viziri
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…