OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 434
Davis Mosha sii amsaidie mama yake jamaa......bussiness partner mbona anamtupa mshkaji in bad times
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Okey.....wasalimie mbeya ningekuwa likizo ningekuita upate kinywaji mbeya carnival.
Davis Mosha sii amsaidie mama yake jamaa......bussiness partner mbona anamtupa mshkaji in bad times
Davis Mosha sii amsaidie mama yake jamaa......bussiness partner mbona anamtupa mshkaji in bad times
Kwanza mzee malecela kwanini asimjengee mke wake wa zamani nyumba nzuri, wakati amemjengea anna kilango jumba la kifahari masaki. Kwani ugomvi kati ya mama na ana kilango umekwisha'?
Afterall mama ni mama, na yote unayofanya lemutu ni sahihi, na ni mfano wa kuigwa.
Ninyi mnaosema vibaya ,hata mama zenu hawatapenda kuona watoto wao wakidhiaki mtu kumsaidia mama yake!
mtu akishakua reatarded, maana yake ni metally retarded
- Sure hapa Mbeya ninaishi downtown kama kawaida at this 5 star Hotel U know GR, so kama vipi nipo hapa U know and I love it!!
Le Mutuz
Ahahahahahaha
Mkuu hiyo ni 5* hotel?? Ahahaha mbona hata kaspace cha parking hakiwezi beba hata gari 20
ghafla nimekua mtoto mchanga??- Mtoto mchanga unayenyonya maziwa ya mama yako na upo JF weka nyumba ya mama yako hapa tuone wacha filimbi maneno mengi weka picha ya nyumba ya mama yako hapa hahahahahahahahah
Le Mutuz
huo unaitwa ushamba... nyumba ya mama yangu iko vikawe st- Page ya 6 sasa watu wazima na akili timamu mnajadili retarded hahahahahahaha sasa nani ni retarted hasa? Halafu nyumba ya mama yako mbona hujaweka ili uwe na haki ya kuongea kwa nguvu so ni kelele za mlango weka nyumba ya mama yako hapa kama hayakuwa majanga hahahahahaha
Le Mutuz
- Ni kawaida ya mwehu kuamini wengine wote ni wehu kama yeye, nyumba ya mama yako ipo wapi mkuu weka hapa hahahahahahah
Le Mutuz
ghafla nimekua mtoto mchanga??
Kumbuka, debe tupu haliachi kutika!!!
Just take it as an adult, umekengeuka
- Sasa kweli unasema na hii hotel ni mama yangu nayo hahahahaha, mimi najitayarisha Jumanne to fly back to bongo ili kuwahi kusaini mkataba mpya na Kampuni mpya ya kimarekani EAG ya kuitangazia matangazo kwa next Two years ndio what I am all about na bila kelele kama hizi nisingepata mikataba kama hiyo so keep it up this kielele it is always good for me, I mean muwakilishi wao yupo Dar nimempa hii link nimemmwambia imeanza leo asubuhi na mimi sipo huko lakini tayari page 6 na viewers 10,000 I love it na I am humbled sana JF
Le Mutuz
Wew ni mtu mzima usiwe unakua mwili afu akili ya kupambana na mambo inakushinda.... Umeharibu sana kupiga picha hapo kwenu na kuweka insta ilhali unajua maisha yako unayoishi .... Kwenda nyumbani kwenyew kwa manati huna lolote na huwezi kupokea changamoto na kuzifanyia kazi zaid zaid mtu akikupa makavu eti unamblock... Jitu zima ovyooo
huo unaitwa ushamba... nyumba ya mama yangu iko vikawe st
Vipi yatosha hapo??
Nilichouliza na majibu niliyopewa ni vitu viwili tofauti..
again,- Si umesema wewe ni mtoto mchanga kila mtu hapa JF anakujua sasa nyumba ya mama yako iko wapi mkuu maana tukiona ndio utakuwa na haki ya kutukana nyumba za mama za wengine ambao huwalishi wala huwalipii maisha yao hahahahaa
Le Mutuz
- Vipi nyumba ya mama yako mkuu ipo wapi maana kelele tu vipi anaishi kibandani nini? hahahahahahaha
Le Mutuz