Le mutuz awashukia wanaomlaumu kuhusu nyumba ya mama yake

Status
Not open for further replies.

Hata subutu kufanya hivyo. Alikuwa akilalamika
Kwanini mabebeez hawajamsaidia
Wakati huu mama ake ana umwa
Anawaita sijui mazafatazz le mburulazz!!
 

- Weka nyumba ya mama yako hapa wacha maneno mengi wewe ndiye mtumzima peke yako humu mjinga wewe mimi sio ndugu yako wala sikuhusu hunilipii rent wala chakula nakuona mjinga flani hivi unatafuta kiki kama una ubavu weka picha ya nyu,mba ya mama yako huwezi nyamaza tuachie sisi tunaoweza kuweka nyumba za mama zetu U know hahahahaha

Le Mutuz
 
- Vipi nyumba ya mama yako mkuu ipo wapi maana kelele tu vipi anaishi kibandani nini? hahahahahahaha

Le Mutuz

Kwakuwa mamako anaishi bandani basi unajua kila mama anaishi huko eeehh.. Nyumba ya mama yangu ya kule kijijini ni standard kama hizi za mbezi, Masaki wachilia mbali ya hapa mjini. Muulize boss wako David Mosha anakujaga sana kuchoma nyama pale nyumbani yeye na rafiki yake Ngiloi
 

Tatizo lako unakua mwili akili kisoda muda huu ulitakiwa kuwa karibu na mama tuseme unauguza matokeo yake upo humu kuonyesha picha eti hotel ya 5star GR... Hili sio jukwaa la picha punga kweli peleka mashavu yako huko tatizo umekaa kupenda sifa za kijinga tu.
 
Hata subutu kufanya hivyo. Alikuwa akilalamika
Kwanini mabebeez hawajamsaidia
Wakati huu mama ake ana umwa
Anawaita sijui mazafatazz le mburulazz!!

- Sihitaji kusaidiwa na mtu nilichosema ni kwamba kila mtu anataka my house waming party lakini sio ugonjwa wa mama yangu mwanaume wachana na umbeya mjini hapa U know hahahahahahah

Le Mutuz
 
Nop!! Hii nyumba bado haijakidhi hadhi ya mama yako mzee ikilinganishwa na bata pamoja na matambala unayoyatoa mitandaoni na mitaani.

Matter of fact, kuwa mtoto wa former PM ambaye ni aged pia former diaspora mwenye degree tatu....no thank u sir! Unaposema nyumba hii ni bora mtaa mzima huo ni uhalifu mkubwa dhidi ya mama.

Msaidie mama bro! Please!!!
 

Attachments

  • 1421005915780.jpg
    40.7 KB · Views: 1,320

- So page 7 Viewers 10,000 kwa ajili ya mtu wa akili ya kisoda au unajisema mwenyewe habu jaribu kujadili jina lako mwenye akili kubwa kama unaweza pata hata comment moja kubali mimi ni The King Of All Bongo Social Media ndio maana unatafuta kiki na wewe ujulikane kunijadili please weka nyumba ya mama yako hapa tuone hahahahahah

Le Mutuz
 

- Ilikuwa ni safari yangu ya kwanza toka nirudi Majuu, nikaitengeza na kuwa ilivyo sasa tofauti na hiyo na sasa naitengeneza tena hiyo picha ilikuwa zamani mara yangu ya kwanza kurudi bongo Miaka 4 iliyopita sasa hivi ipo hivi:-



- Hii ni baada ya kuijenga upya niliporudi na sasa naifumua tena, pole sana hope netx time utaweka nyumba ya mama yako tuone ukweli ulipo hahahahaha

Le Mutuz
 
Ndio alivyo huyu ni wa kumsamehe

Huyu jamaa tatizo hataki kuukubali ukweli.. Kila anachokifanya yeye anaona kiko right.. Anadai Voda inamlipa 5M per month kwa matangazo ila ameshindwa kumrekebishia mzazi wake mahala pa kulala. Hapo imembidi aende tu sababu mama yu taabani..
 

Mpuuzi ni kumuacha na upuuzi wake tatizo lako unataka usifiwe na vitu vya ajabu ajabu
 
Huyu jamaa tatizo hataki kuukubali ukweli.. Kila anachokifanya yeye anaona kiko right.. Anadai Voda inamlipa 5M per month kwa matangazo ila ameshindwa kumrekebishia mzazi wake mahala pa kulala. Hapo imembidi aende tu sababu mama yu taabani..

- Ungeweka nyumba ya mama yako kwanza ningekusikiliza sana mkuu ila for haya maneno matupu please hahahahahahaha huna hoja wala right to speak

Le Mutuz
 
Mpuuzi ni kumuacha na upuuzi wake tatizo lako unataka usifiwe na vitu vya ajabu ajabu

- hahahaha ukisoma maneno yaliyoandikwa na mpuuuzi utamjua tu wala haina haja ya kujua jina lake maneno yake tu hujisema mwenyewe kuwa ni mpuuuzi U know hahahahaha

Le Mutuz
 




- Sure hapa Mbeya ninaishi downtown kama kawaida at this 5 star Hotel U know GR, so kama vipi nipo hapa U know and I love it!!

Le Mutuz

ha ha ha ....none of my business.Ila ningekuwepo ningekualika tugonge unywaji.Bahat Mbaya nipo iringa na shemeji yako gentle hills hotel gangilonga iringa
 

- hahahaha kumbe unazim,ia na Davis Mosha ndio maana kila post lazima umtaje vipi unataka awe rafiki yako nini I mean wewe umeshawahi kuona watu kama Davis wanakuja kuandika kama wewe kuhusu nyumba ya mama yako bila picha? hahahahaha eti mama yako ana nyumba kama MAsaki weka hapa tuone si unajua wapo watu wanakukuja hapa itakuwa aibu hahahahahahaha eti Davis Mosha anakujua wewe? hahahahahahahah

- Tunapokuja Kiboloni huwa tunaenda kwa Macha tu sio wewe wacha kujikweza na kujipa kiki kaka hahahaha you are no body!!

Le Mutuz
 
ha ha ha ....none of my business.Ila ningekuwepo ningekualika tugonge unywaji.Bahat Mbaya nipo iringa na shemeji yako gentle hills hotel gangilonga iringa

Heri yako wew uko pande hizo hiyo iko quality kinoma sio GR anayoisemea karibu iringa mkuu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…