Euaggelion03
JF-Expert Member
- Jul 25, 2014
- 722
- 789
Kusema ukweli babu leo umeshikwa pabaya,ndo maana huna majibu ya maana zaidi ya kung'ang'ania uoneshwe nyumba za mama zetu.Kubali changamoto na uzifanyie kazi na sio kuleta ubishi wa kisiasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kusema ukweli babu leo umeshikwa pabaya,ndo maana huna majibu ya maana zaidi ya kung'ang'ania uoneshwe nyumba za mama zetu.Kubali changamoto na uzifanyie kazi na sio kuleta ubishi wa kisiasa.
- Wewe unasema ile ni nyumba au pagalo la kufugia nguruwe nyumba haiona kifusi wala Cement chini wala zege ni nyumba ndio maana ninasema nyinyi mna kelele za mlango now nijibu mama yake now anaishi wapi mpaka hilo pagalo la Shule litakapoisha? hahahahahahaha
Le Mutuz
- Mimi nakaaa Mbeya mama yangu anaishi Tunduma nimemuhamishia hapa mpaka ukarabati utakapoisha, niambie hoteli ya maana Tunduma ni ipi kaka?
Le Mutuz
Mwanamke wa kwanza kuwa proud naye ni mama mzazi.le mutuz hujawahi hata kumuwish HBD mama yako au kumuweka kwenye insta na kumsifia hata kwa maneno mawili tu.ebu mtazame diamond kwenye tuzo kubwa kama za channel kaambatana na mama yake.Mimi sikutukani ila nimekushauri jaribu hata siku Moja kufanya hivyo
- hahahaha nilidhani utaongelea mama yako kumbe mfano ni wa diamond sasa una maana mimi ni Celeb kama diamond kumbe unalijua hilo, ok vipi nyumba ya mama yako ipo wapi mkuu weka picha hapa tuone au ndio yale yale unajenga msingi kwanza ukiwa na miaka 20 tu? hahahahahahahah
Le Mutuz
- hahahaha nilidhani utaongelea mama yako kumbe mfano ni wa diamond sasa una maana mimi ni Celeb kama diamond kumbe unalijua hilo, ok vipi nyumba ya mama yako ipo wapi mkuu weka picha hapa tuone au ndio yale yale unajenga msingi kwanza ukiwa na miaka 20 tu? hahahahahahahah
Le Mutuz
Mimi mama yangu bado ni mdogo wako maana ndio kwanza ana 51 yupo mjini dsm
Ila nitafurahi nikimuona mama yako insta.
- HAHAHAHAHAHAHA hahahaha picha ya nyumbe yake wapi weka hapa tuone ukweli hahahahaha
Le Mutuz
- Ninacheka kwa sababu mama yako hana nyumba kama ya mama yangu angekuwa nayo ungeshaiweka hapa, sasa nacheka kwa sababu unazidi kujichafua na matope badala ya kuweka nyumba ya mama yako, mama yangu is fine sio kam a mama yako ok!! hahahahahahahaha
Le Mutuz
- Mtoto mchanga siku nikishikwa pabaya wewe utakuwa kaburini na wewe mama yako hana nyumba maana ukiona mtu anakuja na maneno mengi ujue mama yake hana nyumba hahahahahahaha nyamaza tu U know hahahaha
Le Mutuz
Mimi sijaponda nyumba ya mama yako nimekushauri uanze kuwa proud na mama yako.kama ukipata lunch na marafiki zako unaweka insta kwa nini hata hapo hotelini ukipata lunch na mama yako usiweke.plz consider my advice
Ni heri mimi mtoto mchanga ninae jitambua kuliko wewe kubwa zima usiye na haya.Ni aibu kwa familia kama ya kwenu mama yenu kuishi ktk banda kama lile....!!Ukweli mchungu lkn unapaswa kuupokea na kuufanyia kazi.Acha bra bra na sifa zako za kijinga.
Kama kuna siku nimekudharau babu basi ni leo!!
Nahisi hata kichwa chako kitakua na kazi moja tu ya kufugia nywele na si kufikiri.
Pathetic!!
- hahahahahahah so far sijaona picha ya nyumba ya mama yako vipi hana nini maana maneno mengi sana weka picha wacha maneno mengi hahahahaha
Le Mutuz
Davis Mosha sii amsaidie mama yake kama Malecela kashamtosa kabisa.....inasemekana Kilango kakaba kila kona
Najua yanakuingia sana lkn endelea komaa tu ili kuficha hii aibu...
One of the stupidest persons in the UNIVERSE